Casper nyovest vs AkA

Casper nyovest vs AkA

Joined
Sep 16, 2017
Posts
17
Reaction score
1
Huwa naona ubishani mwingi sana wa nani mkali kati ya Casper nyovest na Aka nambie hapa nani mkali wako.
 
AKA ana swaga poa Cassper ana mistari mikali...
 
aka anajua na swaggs nyingi ila anachozidiwa na nyovest mwenzake ni fighter sana always anazd kusaka soko la nje ya Africa hence currently Casper mkal
 
Back
Top Bottom