B bwanafundi Member Joined Jan 13, 2011 Posts 17 Reaction score 1 Nov 25, 2011 #1 Jamani wana jamii nawaomba mnielekeze duka linalouza cartridge refill kit kwa ajili ya printer nikiwa na maana ya wino wa printer,naomba nijulishwe duka liko mtaa gani na jina la duka.asante.
Jamani wana jamii nawaomba mnielekeze duka linalouza cartridge refill kit kwa ajili ya printer nikiwa na maana ya wino wa printer,naomba nijulishwe duka liko mtaa gani na jina la duka.asante.