ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Oky na shukuru sanaPhotoshop ndio application inatumika na ni ya computer... Zipo apps nyingi za Android ukitafuta cartoonify lakini quality hairidhishi.. za iPhone ndio afadhali lakini ni bei kidogo
Hiyo photoshop nitaipata wapiPhotoshop ndio application inatumika na ni ya computer... Zipo apps nyingi za Android ukitafuta cartoonify lakini quality hairidhishi.. za iPhone ndio afadhali lakini ni bei kidogo
Hiyo gaussian blur nitaipata wapi mkuuphotoshop ndio mara nyingi hutumika, mimi ninayo njia shortcut inatumia gaussian blur dakika kadhaa tu unakuwa umeshamaliza na kama upo fast hata dakika haifiki frame inakuwa imekamilika, inabaki tu kufanya painting
cheki hii tutorial
Photo to cartoon effect: how to use Photoshop to turn images into drawings | Digital Camera World
kwenye painting sasa ni ujuzi wako mwenyewe hapo ndo utaona uzuri wa picha unatofautiana
ni feature ndani ya photoshop, itabidi uwe na photoshop kwanza.Hiyo gaussian blur nitaipata wapi mkuu
Naweza kupata photoshop bure?ni feature ndani ya photoshop, itabidi uwe na photoshop kwanza.
ni ya kulipia mkuu ila unaweza ipata bure wanazochakachua. kwa wewe usieelewa hata photoshop itakua ngumu hadi kuicrack. tumia torrent search "photoshop cs6 portable" kwenye website yoyote ya torrent halafu idownload version isiohitaji installation itakuwa na ukubwa around mb 300Naweza kupata photoshop bure?
Anhaaa sawa mkuu ngoja nifanye hivyo asante sanani ya kulipia mkuu ila unaweza ipata bure wanazochakachua. kwa wewe usieelewa hata photoshop itakua ngumu hadi kuicrack. tumia torrent search "photoshop cs6 portable" kwenye website yoyote ya torrent halafu idownload version isiohitaji installation itakuwa na ukubwa around mb 300
ni ya kulipia mkuu ila unaweza ipata bure wanazochakachua. kwa wewe usieelewa hata photoshop itakua ngumu hadi kuicrack. tumia torrent search "photoshop cs6 portable" kwenye website yoyote ya torrent halafu idownload version isiohitaji installation itakuwa na ukubwa around mb 300
hakuna yenye around 300mb?
Hapo nichukue ipi kaka.....hiyo ya nne ina 560MB
Hapana sijaiona kubwa ni hio 560 zingine ni Chini ya 100hakuna yenye around 300mb?
hakuna yenye around 300mb?
kama una experience kidogo na hizo cracked software download yoyote, kama huna subiria nikifika mahala pazuri nitakuekea linkHapana sijaiona kubwa ni hio 560 zingine ni Chini ya 100
Ngoja nisubiri Link mkuu nitashukurukama una experience kidogo na hizo cracked software download yoyote, kama huna subiria nikifika mahala pazuri nitakuekea link
Adobe Photoshop CC techtool torrentNgoja nisubiri Link mkuu nitashukuru