kaka kila kitu Ghana na most of the cars ni electric cars wanazo SUV, Pickups and saloon cars. walianza kutengeneza kitambo lakini kwaajili ya maonyesho, wameanza kutengezeza rasmi kwa biashara on May 2014.Wametengeneza waghana au zimetengenezwa huko halafu wanaziunganisha tu
mkuu hivi hii avatar yako mbona kama siisomi vile....Hawa jamaa wanatengeneza mpaka injini zao wenyewe
OK sawa kama iko kawaida labda mimi macho yangiu yamevaa miwani...Kivipi? mbona ipo kawaida tu, au wewe unaona kitu gani labda?