Carmatec/ nyumbu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Carmatec/ nyumbu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by payuka, Sep 1, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Heshima zenu wakuu!

  Mwenye kujua ziliko ofisi za Carmatec/ au nyumbu kwa hapa Dar es Salaam. Hawa jamaa nasikia wanauza mashine za aina mbalimbali kwa bei poa kabisa.

  Mwenye details tafadhali, Nimejaribu Ku-search kwa kutumia google bila mafanikio.

  natanguliza shukrani"!
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu sidhani kama Carmatec wana ofisi Dar maana hata ikifika wakati wa maonyesho kama ya sabasaba huwa wanahangaika sana kuleta vitu vyao. Ofisi zao ziko Arusha na sina habari za hivi karibuni kuwa wamehamia wapi maana eneo lao limechukuliwa na Mandela Institute of Technology. Nyumbu wako Kibaha na wana website gonga HAPA huko utapata maelezo na contacts zao. Contacts za Carmatec hizi hapa chini.

  The Director General, CAMARTEC, P. O. Box 764, Arusha, Tanzania.
  Tel: +255272573222 OR +255 27 2553214
  Email: carmatec@hotmail.com
   
 3. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru sana Mkuu kwa msaada wako!
   
Loading...