mechi inaanza saa ngapi kwa masaa ya afrika mashariki? mimi jiografia ya kubadilia masaa ya gmt ilinipitia pembeni!
Kwa masaa yaliyo katika GMT,ukitaka kujua kwa hapa TZ na East Afrika kwa ujumla,unajumlisha masaa 3 mbele. Mfano kama ni saa 5 asubuhi katika GMT,then TZ inakua ni saa 8 mchana;kama ni saa 10 jioni katika GMT hours,then TZ ni saa 1 usiku. I hope umeelewa.
mechi inaanza saa ngapi kwa masaa ya afrika mashariki? mimi jiografia ya kubadilia masaa ya gmt ilinipitia pembeni!
Shukrani, kwa hiyo 1600GMT + 3 = 1900 EAT ambao ndio muda wa fainali?
Good luck gooners
hiki kikombe cha mbuzi kitai-busti sana asenali iweze kuinyang'anya ubingwa barcelona na kuing'oa man u kileleni!
ubingwa gani wanawanyang'anya Barcelona mkuu?!!
hiki kikombe cha mbuzi kitai-busti sana asenali iweze kuinyang'anya ubingwa barcelona na kuing'oa man u kileleni!
shukrani mkuu, naona akili yangu iko nyuma kidogo, huwa nawaona barcelona ndio de facto epl champions!
Labda amesahau pamoja na kucheza kote wao siyo mabigwaubingwa gani wanawanyang'anya Barcelona mkuu?!!
ngoja nijongee samaki samaki nikashuhudie mwanzo wa gunner's quadruple: carlington, fa, epl, ucl!
Hivi kumbe ubingwa wa carling cup unaiongezea timu point za kwenye premiership? Afu kumbe pia kwa kutwaa kombe hilo la mbuzi Arsenal itahamia La Liga na kuwa bingwa pia?
Duh kama ni hivyo kumbe Carling Cup ni zaidi ya UCL.