Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,954 Reaction score 7,113 Jun 30, 2016 #21 Hizo gari mbili ulizochagua carina na premio ni nzuri kuliko gx100, carina ni nzuri sana
Mzee wa Gizani JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,997 Reaction score 6,290 Jun 30, 2016 #22 Carina ni gari nzuri....lakini iwe TI.Carina SI ni yakishua kidogo{wese halitakiwi la mawazo}
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,171 Reaction score 6,152 Jul 11, 2016 #23 Carina TI ina body ngumu, ni nzuri hata kwenye rough roads.
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,820 Jan 3, 2017 #24 Acha kufananisha Carina na vitu vya kipuuzi.
mpapamwali Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 151 Reaction score 172 Jan 3, 2017 #25 Premio ni gari safi sana kwa starehe