screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Wakuu nimejaribu kufatilia mijadala mingi jukwaa hili kabla sijafanya maamuzi ya kununua gari, kwa bajeti yangu isiyozidi mil 13 nimetokea kuvutiwa na hizi gari 2, ipi ni chaguo zuri zaidi kwa ujumla, kwa kuzingatia muonekano, ulaji wa mafuta, ubora, 'comfortability' ukiwa ndani, n.k?