Carina Ti Inahitajika

Carina Ti Inahitajika

Kemby

Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
28
Reaction score
14
Habari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa poa zaid.
 
duuh kaka hiyo bei ya Toyota passo.au Vitz ongeza hela mkuu
 
Habari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa poa zaid.

ongeza ela iyo nikupe ti no B, cc1490
 
mkuu ipo Si namba B .kama upo serous tuwasiliane 0713959290
 
Mkuu Ungemwona Zitto anayo ni moja ya gari zake kati ya gari mbili tu alizonzonazo anatembelea jimboni.
 
Back
Top Bottom