Nina miaka 4 na SI, sijapata tatizo lolote zaidi ya service ya kawaida. Ni bora zaidi ya TI kwa mtu anayependa safari.Mkuu, kama ni diehard fan wa Carina, nakushauri go for Ti. Running costs zake ni ndogo sana kuanzia ulaji wa mafuta, spare parts na comfortable. Kwa muonekano hazina utofauti na Si.
I mean kuanzia spea parts, mafuta etc, shortly ni roho ya Paka
Vipi umenunua Carina nini, mbona umefukunyua nyuzi zote za Carina na kumwaga sifa?Ti ni habari nyingine ww