masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,262
Tumia mabasi.Naombeni msaada wa cargo ya kusafirisha mzigo NAIROBI -Dar
Mizigo ni mikubwa mikubwa inafaa fuso/tandamTumia mabasi.
Sio mabus dearKidia one
Tahmeed
Jamaa wako smart sanaWacheki MADEKENYA.
kazi ni kipimo cha utu
Wanasema hawafiki kenyaWacheki MADEKENYA.
kazi ni kipimo cha utu
Kuna yule mdau alileta uzi wa kusafirisha mahindi mpaka Kenya akaenda kuyauza kule umemcheck?Wanasema hawafiki kenya
Uzi wake huuWanasema hawafiki kenya
MmmhWatafute (wakawaka) Nova Esparanca