Mtoto mzuri sana mkuu kila la heri katka malezi na umlee katka misingi ya dini asije kufuata ya akina Giggy money....
Inawezekana unayoyasema. Dunia nzima watu wanapost watoto wao mitandaoni. Instagram , fb na kwingineko.Acheni kumset ujinga jamaa picha ikipostiwa hapa inaingia hadi kwenye serva za google na kuna watu wanazinyonya atakuja kushangaa watu wamempost kwenye site za ajabu.
Bonge la toto
Nganashe, airorokita. Kaa nabo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upcoming lemutuz au
sidai..tukulu....keyaaNganashe, airorokita. Kaa nabo?
Merika naleng'. Kai itii?sidai..tukulu....keyaa
hahahahaahahah, sijajua maana huwa anatafuta vingi yule sio wa taratibu. hahahahahShemeji kwani Miss Natafuta anatafuta mtoto?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hilo neno la mwanzo mtuaelewaMerika naleng'. Kai itii?
hahahahaahahah, sijajua maana huwa anatafuta vingi yule sio wa taratibu. hahahahah
mimi ndo natakaShemeji kwani Miss Natafuta anatafuta mtoto?
bila kusahau kachumbari na juice ya kushushiaMimi namwogopa Miss Natafuta kama nini yaani, maana alishasema akikuta simba anamla mwanaume atachofanya ni kumpa simba tomato sauce na chilli ili aongezee utamu.
bila kusahau kachumbari na juice ya kushushia
mimi ndo nataka