Wanakata bei gani kama ada ya kulink card?Hakikisha ina balance. Mimi M-pesa Master Card iliwahi kunisumbua hivyo hivyo kumbe tatizo ilikuwa ni balance tu. Pia hakikisha mastercard yako haija expire, na uweke namba kwa makini
Huwa wanakata kiasi cha $1 then wata refund within 48 hrsWanakata bei gani kama ada ya kulink card?
M pesa Master card haikubali kufanya permanent link na Paypal wanaikataa so unacho fanya unapo taka kulipia kitu online ndio una iwekea pesa then unalink chap na paypal unalipa una temana nayo.Wanakata bei gani kama ada ya kulink card?
Aliexpress wanapokea malipo kwa paypal?M pesa Master card haikubali kufanya permanent link na Paypal wanaikataa so unacho fanya unapo taka kulipia kitu online ndio una iwekea pesa then unalink chap na paypal unalipa una temana nayo.
Lazima mkuu Paypal ina tumika sehemu nyingi sana mkuu and is the safiest means of online transactionsAliexpress wanapokea malipo kwa paypal?
CRDB visa inafanya vyema kabisa hata equity bank card nayo inafanya poa zote hizo nimekuwa nikitumia kwa nyakati tofaiti.Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link kwenyepaypal inagoma (this card cannot be virifield right now try another c) inanikera sana hii error msaada wenu wakuu .ahsante
Aliexpress njia kuu ya malipo ni AliPay.Lazima mkuu Paypal ina tumika sehemu nyingi sana mkuu and is the safiest means of online transactions
PayPal ni kwa baadhi ya nchi, na seller wanaopokea PayPal ni wachache most of them wanatumia AliPay.View attachment 1037996
- How can I pay through Paypal?
AliExpress supports PAYPAL as payment methods for orders to below countries currently:
United States, United Kingdom, Spain, Portugal, French, Italy, Germany, Israel, Netherland, Poland, Norway, Sweden, Saudi Arabia, United Arab EmiratesdStep 1: Find Paypal logo in product detail page
- Kindly note Paypal is only available when seller activated Paypal for his/her store.
- You can find Paypal logo as payment method in product detail page if it is available to pay for that product.
- Click 'Pay Now' to find it or select 'Other Payment Methods' to find this option.
Step 2: Click 'Buy now' or 'Pay now' button to check available payment methods
- Step 3: Select Paypal and you will be directed to Paypal site to complete it.
Ndio hivyo mkuu so hapa na shauri hembu jaribu kucheck Alipay kama ina support recharge toka kwa Mastercard. Kma ina kubali recharge Mastercard yako alafu link na AlipayPayPal ni kwa baadhi ya nchi, na seller wanaopokea PayPal ni wachache most of them wanatumia AliPay.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link kwenyepaypal inagoma (this card cannot be virifield right now try another c) inanikera sana hii error msaada wenu wakuu .ahsante
Hahaha! Sahiv BancABC, FNB, Equity Bank, Exim Bank. Hizi naona hawana mambo ya usumbufu hata charge zao ni ndogo.Mkuu kuhusu crdb sahau kabisaaa.
Jamaa kwenye hizo mambo ni wababaishaji wa kutupwa.yalisha nikutaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Makato yao?
Mkuu kuhusu crdb sahau kabisaaa.
Jamaa kwenye hizo mambo ni wababaishaji wa kutupwa.yalisha nikutaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata mzigo wng kitu cha saa NAVIFORCE kupitia crdb mwezi wa pili tu tar 8,sikupata usumbufu wowote ule mkuu,labda wewe ilikuwa zamani,sasa hv wamerekebisha issue za online transactions
Mimi ilikua mwaka Jana mwezi wa saba.kama wamerekebisha itakua poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app