kwa kifupi ni njia ya kuangalia DSTV , MYtv afica zile za ghana na nyengine zote kama utakuwa na DISHI au UNGo wako buree. kama tu utapata cline kutoka internet
Mkuu rejea tena na maelezo ili tukupate vizuri maana utakuwa umetusaidia.Mfano nina dishi la kawaida,sasa nianzie wapi?kwa kifupi ni njia ya kuangalia DSTV , MYtv afica zile za ghana na nyengine zote kama utakuwa na DISHI au UNGo wako buree. kama tu utapata cline kutoka internet
Kjn hy njia ya kuunganisha na PC kwa kiasi fulani ni watz wachache ambao wanaweza!
sasa kwa wale ambao hawana hy PC lkn wanazo recievers tu(king'amuzi) watafanyaje?
@yussufmzee
Asante mkuu kwa topic hii mie ningependa kujua zaidi sasa ukiwa na receiver na lappy au desky ndio unaunganisha alafu unaenda wapi kwenye comp kutafuta hizo cline?
Je receiver za wale madishi meupe
Na ukiipata cline unaiandika wapi?
Na inakuwaje kupata hizo channel ni kwa tv yako au compuer?
makubwa yataweza kazi?
Unadhani …tu ukiwa umeenda abroad utaweza pata channel za africa esp Tanzania?
Dstv 68.5e irisha futwa imebakia kwenye kusorry sio eutelsat ni intelsat 10 kwa ukamilifu zaidi ni MultiChoice Africa on Intelsat 10 at 68.5°E
mkuu mimi ndio ninayotumia hiyo decoder alinielekeza kutumia jamaa yangu Mnigeria tulikuwa naye nje ila tatizo ya hii kitu inahitaji internet ya uhakika sio ya kubabaisha kwa kuwa hawa dstv kipindi cha mwaka uliopita walikuwa wanakaa hadi wiki moja ndio wanachange code sasa hivi ni tofauti unakuta wakati mwingine nusu saa tu wameshabadili sasa kama net inakuwa iko down au inasumbua itashindwa kuupdate hizo code kifuatacho ni nini channel zote za kulipia zinashindwa kufunguka.