Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,112
Rapa machachali wa Marekani, Cardi B mwenye watoto wanne, ameweka msimamo wake wazi kabisa kwamba kwasasa hawezi kabisa kumpikia wanaume, na akiwa na njaa anaweza kuagiza chakula kupitia Uber Eats.
Kauli yake imezua mjadala mkubwa mtandaoni kwa kasi, huku baadhi ya watu wakiiona kama ishara mbaya (red flag) na wengine wakimpongeza kwa kuweka mipaka mizuri katika mahusiano.
Mjadala mkubwa zaidi umeibuka kuhusu kupika kama kunapaswa kuwa jukumu la lazima kwa mwanamke au ni jukumu la kushirikiana kati ya wapenzi, au ishu siyo kupika ishu ni chakula haijalishi kinatokea wapi?