STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,076 17,243 Jan 19, 2017 #1 Wakuu hivi kati ya hao wawili nani mwenye maisha mazuri? Na nani mwenye fursa za kuingiza hela ndefu kupita mwenzake?
Wakuu hivi kati ya hao wawili nani mwenye maisha mazuri? Na nani mwenye fursa za kuingiza hela ndefu kupita mwenzake?
Osaba JF-Expert Member Apr 10, 2011 1,937 781 Jan 19, 2017 #4 Wiring ndio mpango mzima kama una computer diagnosis ndio utapiga hela sana
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,076 17,243 Jan 19, 2017 Thread starter #5 tutafikatu said: Wirering ndio nini mkuu? Click to expand... Ni mambo yote yahusuyo umeme wa magari yani
tutafikatu said: Wirering ndio nini mkuu? Click to expand... Ni mambo yote yahusuyo umeme wa magari yani
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,076 17,243 Jan 19, 2017 Thread starter #6 Kafman said: Mhhhhh!!! Click to expand... neno Wirering limekuchanganya? Wanaita wayaringi, au umeme wa magari
Kafman said: Mhhhhh!!! Click to expand... neno Wirering limekuchanganya? Wanaita wayaringi, au umeme wa magari
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,076 17,243 Jan 19, 2017 Thread starter #7 Osaba said: Wiring ndio mpango mzima kama una computer diagnosis ndio utapiga hela sana Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Wirering inamfunika mshusha injini?
Osaba said: Wiring ndio mpango mzima kama una computer diagnosis ndio utapiga hela sana Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Wirering inamfunika mshusha injini?
LEGE JF-Expert Member Oct 14, 2011 5,122 9,205 Jan 20, 2017 #8 Osaba said: Wiring ndio mpango mzima kama una computer diagnosis ndio utapiga hela sana Click to expand... acha kujidanganya mkuu diagnosisi machiney ni kama spana tuu ya fundi
Osaba said: Wiring ndio mpango mzima kama una computer diagnosis ndio utapiga hela sana Click to expand... acha kujidanganya mkuu diagnosisi machiney ni kama spana tuu ya fundi
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,076 17,243 Jan 20, 2017 Thread starter #9 LEGE said: acha kujidanganya mkuu diagnosisi machiney ni kama spana tuu ya fundi Click to expand... Kwahiyo unataka kutuambia nini?
LEGE said: acha kujidanganya mkuu diagnosisi machiney ni kama spana tuu ya fundi Click to expand... Kwahiyo unataka kutuambia nini?