Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,944
- 12,509
Samahani kwani sina ubaya na mtoa post
wapi mkuu nielekeze dukaTrust me guys, hizo mashine zinapatikana kwa 700k mpya na pipe 1 mita ni 5000
Nenda gerezani zipo nyingi, me nimetoka kununua ya 3000psi kwa 950K,wapi mkuu nielekeze duka
Mwanza zipo za kumwaga kwa 950 aliyosema mchangiaji hapo juu unanunua pamoja na vitu vyake vyotewapi mkuu nielekeze duka
Na chenji inabakiMwanza zipo za kumwaga kwa 950 aliyosema mchangiaji hapo juu unanunua pamoja na vitu vyake vyote
huo ndo ukweliulipigwa mkuu vyote vlitakiwa viwe pamoja