hailipi mkuu mm nakupa pamoja na washing gun na pipe ambapo ukinunua dukan hupewiKula laki tano mkuu.
Sh.ngapi?hailipi mkuu mm nakupa pamoja na washing gun na pipe ambapo ukinunua dukan hupewi
washing gun ni 70,000
pipe mita 1 tsh 15,000
ulipigwa mkuu vyote vlitakiwa viwe pamojahailipi mkuu mm nakupa pamoja na washing gun na pipe ambapo ukinunua dukan hupewi
washing gun ni 70,000
pipe mita 1 tsh 15,000
bei inapunguaikiwa na
washing gun
washing pipe 10 metre
bei 1.1m
call/sms 0752140001
hapana mkuu haina maslahiLak 3!
mkuu unajua bei zake?lkn maongezi yapo kwa atakayehitajiAISEE NINGEKUWA NAMAHALI PA KUIWEKA HIYO MASHINE NINGENUNUA ILA SINA
HALAFU BEI KUBWA SANA HIYO MKUU
Nunua tu mahali pakuiweka juu yangu.tuwe partnerAISEE NINGEKUWA NAMAHALI PA KUIWEKA HIYO MASHINE NINGENUNUA ILA SINA
HALAFU BEI KUBWA SANA HIYO MKUU
mkuu hiz mashine zipo mpk za 2M znatofautiana uwezo tu kwa anayehitaji bei inashukaHiyo bei kubwa sana, mpya za kampuni ya Boss zinauzwa 880,000 mpaka 1,000,000/ na zina pipe pamoja na gun. Pipe wanatoa ya urefu wa mita nane.
jipangeni niwape mashineNunua tu mahali pakuiweka juu yangu.tuwe partner
ukipata krb mkuuAISEE NINGEKUWA NAMAHALI PA KUIWEKA HIYO MASHINE NINGENUNUA ILA SINA
HALAFU BEI KUBWA SANA HIYO MKUU
Weka bei na uwezo wa hizo mashine zako, maana sample yako ni 2800hps na ni usedmkuu hiz mashine zipo mpk za 2M znatofautiana uwezo tu kwa anayehitaji bei inashuka
mkuu mm nauza hyo 2Weka bei na uwezo wa hizo mashine zako, maana sample yako ni 2800hps na ni used