Car tracks ni nzuri sana

M

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Messages
630
Likes
36
Points
45
M

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2008
630 36 45
Hua mara nyingi naishangaa serekali kushindwa kuthibiti mwndo kasi wa mabasi ya abiri ambayo mwisho wake huua maelfu ya abiria. Wanaishia kusema maleria inaua sana lakini bila kutaja pia ajali huu watu wengi kwa wakati mmoja na pengine familia nzima. Kuna mfumo amabo unaitwa Car track, ni mzuri sana kufuatilia mwendo kasi wa gari na muda. Car track ni kifaa kinafungwa kwenye gari husika halafua kinaunganishwa moja kwa moja na computer zinazofuatilia mwenendo wa gari.
Mfano, ukifungia kila gari la abiria car trach unaingiza detail zote za mmiliki na dereva husika, anapoingia kwenye gari anatakiwa awashe na alarm ya car track ili kujitambulisha kua ni yeye anayeliendesha. Kifaa hicho ni wireless kinaunganisha na computer (computer Saver) iliyoko sehemu moja, police wanaweza kuchagua pa kuweka, hii saver inamonitor mwenendo wa gari popote lilipo na anayeendesha. Pia ni rahisi sana kupata riporti ya mwendo kasi, muda, mmiliki na dereva. Kwa hiyo ukiamuru magari yote yasizidi mwendo wa km 90 kwa saa, then pale gari linapozidi km 90 computer saver itatoa riport. Magari yote kwa nyia moja ama nyingine yakizidisha km 90/hr watozwe fine kali inayozidi mapato yao kwa siku hiyo, hii itawezesha madereva wote kufuata sheria. Huu mfumo ni mzuri sana kuliko speed governer. Pia kama kuna sehemu kunatakiwa apite km 40/hr akapita na speed kali, riport itaonesha. Serekali ifikirie nje ya box zaidi. Pia taxi zinawezwa pia kufungwa mfumo huu na kutoa bill za mteja, mteja anapoingia kwenye gari hatakiwi kukubaliana bei na dereva yeye anapanda na mwisho wa sabari kifaa kitamwambia unadaiwa kiasi fulani cha pesa.

Nawasilisha hoja
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Hii nayo ni siasa?
 
JuaKali

JuaKali

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
783
Likes
1
Points
35
JuaKali

JuaKali

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
783 1 35
Hua mara nyingi naishangaa serekali kushindwa kuthibiti mwndo kasi wa mabasi ya abiri ambayo mwisho wake huua maelfu ya abiria. Wanaishia kusema maleria inaua sana lakini bila kutaja pia ajali huu watu wengi kwa wakati mmoja na pengine familia nzima. Kuna mfumo amabo unaitwa Car track, ni mzuri sana kufuatilia mwendo kasi wa gari na muda. Car track ni kifaa kinafungwa kwenye gari husika halafua kinaunganishwa moja kwa moja na computer zinazofuatilia mwenendo wa gari.
Mfano, ukifungia kila gari la abiria car trach unaingiza detail zote za mmiliki na dereva husika, anapoingia kwenye gari anatakiwa awashe na alarm ya car track ili kujitambulisha kua ni yeye anayeliendesha. Kifaa hicho ni wireless kinaunganisha na computer (computer Saver) iliyoko sehemu moja, police wanaweza kuchagua pa kuweka, hii saver inamonitor mwenendo wa gari popote lilipo na anayeendesha. Pia ni rahisi sana kupata riporti ya mwendo kasi, muda, mmiliki na dereva. Kwa hiyo ukiamuru magari yote yasizidi mwendo wa km 90 kwa saa, then pale gari linapozidi km 90 computer saver itatoa riport. Magari yote kwa nyia moja ama nyingine yakizidisha km 90/hr watozwe fine kali inayozidi mapato yao kwa siku hiyo, hii itawezesha madereva wote kufuata sheria. Huu mfumo ni mzuri sana kuliko speed governer. Pia kama kuna sehemu kunatakiwa apite km 40/hr akapita na speed kali, riport itaonesha. Serekali ifikirie nje ya box zaidi. Pia taxi zinawezwa pia kufungwa mfumo huu na kutoa bill za mteja, mteja anapoingia kwenye gari hatakiwi kukubaliana bei na dereva yeye anapanda na mwisho wa sabari kifaa kitamwambia unadaiwa kiasi fulani cha pesa.

Nawasilisha hoja
Nakubariana na maoni yako, inawezekana kifaa hicho "Car Track" kikawa kizuri sana kwa kukiangalia kwa upande mmoja, lakini, je usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara vipi?
 
Pengo

Pengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
579
Likes
3
Points
0
Pengo

Pengo

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
579 3 0
Tupe gharama zake ili kama upo uwezekano watz tutumie
 
N

Ngala

Senior Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
160
Likes
5
Points
0
N

Ngala

Senior Member
Joined Sep 30, 2009
160 5 0
Kufunga kwenye mabasi nipo pamoja nawe ila taxi mazee hapo sipo maana ustaarabu bongo bado adimu kwamba mwisho wa safari ndo utajiwe bei!!itakuwa ngumu kulipana mbona watu watahamia kwenye vibajaj
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,901
Likes
8,114
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,901 8,114 280
Mkombozi.. ombi limefikishwa na limeahidiwa kufanyiwa kazi.. kudoz!!

By SUNDAY NEWS Reporter, 6th March 2010 @ 11:01, Total Comments: 0, Hits: 20

CAR Track system, a device that monitors the speed of a vehicle will be fixed into passenger vehicles instead of speed governors, police have said.

Speaking shortly after a meeting which brought together transport stakeholders and the police in Dar es Salaam yesterday, the Chairman of the meeting, Mr Issaya Mngulu said that the police were already working on this new option.

''We will train the police, beginning next week and bus owners will be given three months to fix the devices,'' he said.

Mr Mngulu said that the exercise would go hand in hand with fixing of other monitoring devices upcountry. He said to start with, one device would be fixed in Dar es Salaam.

''We have also agreed that other measures would be taken to strengthen road safety. This is not the end, we want to minimize accidents,'' he noted.

Describing the device, he said it enables traffic police to trace how many times the door has been opened on the way, where and how many times was the vehicle stopped and whether it was overloaded or not.

''The traffic police will be able to switch-off the vehicle, wherever it may be, if he/she discovers that the driver has been reckless'', explained Mr Mngulu.

Mr Mngulu who is also the Community Police Head of Service said that the meeting also discussed and reviewed the history of accidents in the country for the past 15 years.

''Despite the increased number of accidents, we have learned that on average, from 1995 to date statistics of accidents do not differ, considering the increase in demand and the number of cars,'' he said.

The declaration has come few weeks after upcountry bus operators flatly rejected an order to fix speed governors, saying the move would not reduce road accidents.

''We are not opposing the instruction of the government but merely advising that it should use other effective means to reduce road accidents,'' Tanzania Bus Owner Association Chairman, Mr Mohamed Abdula said at a joint stakeholders' meeting with the press in Dar es Salaam recently.
 
Forum statistics

Threads 1,251,233
Members 481,615
Posts 29,763,433