CAR: Muislam ateuliwa kuwa waziri mkuu

CAR: Muislam ateuliwa kuwa waziri mkuu

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,747
Waziri mkuu mpya ateuliwa CAR

​

140123055737_sp_samba_panza_304x171_afp_nocredit.jpg

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Bi Samba Panza
​

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba-Panza, amemteua Muislamu kuwa waziri mkuu mpya.

Mahamat Kamoun, ambaye alikuwa mshauri maalumu wa Michel Djotodia, kiongozi wa kundi la wapiganaji wa Seleka, ataongoza serikali ya mpito.
Waandishi wa habari wanasema hatua hiyo ni jaribio la kuunda serikali ya pamoja baada ya ghasia za kidini za zaidi ya mwaka mmoja.
Tangazo hilo lilitolewa kwenye redio ya taifa na msemaji wa rais ambaye mwenyewe ni Mkristo.
Ghasia zilizuka baina ya Wakristo na Waislamu baada ya wapiganaji wa Seleka, wengi wao waliokuwa Waislamu, walipomtoa madarakani Rais Francois Bozize mwaka jana.

CHANZO: BBC
 
sidhani kama wataridhika hata kama jamaa yao ktk dini ameteuliwa kuwa waziri mkuu.

jazba,kutumia nguvu sehemu ambayo inahitajika hekima,vurugu nk ni jadi yao.
 
dhulma haidumu, ikidumu inaangamiza.
Popote pale ulimwenguni kundi moja linapo onewa na lingine hapawezi kuwa na amani ya kweli
 
dhulma haidumu, ikidumu inaangamiza.
Popote pale ulimwenguni kundi moja linapo onewa na lingine hapawezi kuwa na amani ya kweli

Ungefafanua kabisa, huko CAR Nani anadhulum/ dhulumiwa??
 
Wameuana kwa sababu dini sasa hakuna mshindi, pole yao
 
Kuna vichwa vya habari huwa havipo sawa...
 
dhulma haidumu, ikidumu inaangamiza.
Popote pale ulimwenguni kundi moja linapo onewa na lingine hapawezi kuwa na amani ya kweli

Waislam walijifanya wababe pamoja na uchache wao wakataka kuiongoza CAR kwa mfumo wa Sharia......Nafikiri unakumbuka kilichowapata....

Muslim wanapenda fujo sana angali uwezo wa kupigana hawana..
 
sidhani kama wataridhika hata kama jamaa yao ktk dini ameteuliwa kuwa waziri mkuu.

jazba,kutumia nguvu sehemu ambayo inahitajika hekima,vurugu nk ni jadi yao.

lets pray for the bestin CAR and leave out our assumption

Mungu ana mapenzi yake ktk kila jambo!!
 
Imani ya mteule sio ishu.tatizo alikuwa mshauri wa Seleka
 
sidhani kama wataridhika hata kama jamaa yao ktk dini ameteuliwa kuwa waziri mkuu.

jazba,kutumia nguvu sehemu ambayo inahitajika hekima,vurugu nk ni jadi yao.

Tayari seleka wamesema hawamtaki. Wanadai sio mtu wao.

Hekima hawa jamaa ni sifuri,akili hakuna.
 
mmmh! wewe unadhani salama unajenga kumbe mhusika anaona bado unamkejeli hata huyo uliyemchagua ni wako si wao.

Dini, Dini,Dini- Aliyetuumba anatuangalia tu
 
dhulma haidumu, ikidumu inaangamiza. Popote pale ulimwenguni kundi moja linapo onewa na lingine hapawezi kuwa na amani ya kweli
CC Gama.

We totally don't understand you Peri!!!!!!!!!!

?! OooooH:horn: GOD!! What the hell are you talking about..?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom