CAR MASSAGE ZIMEFIKA TANZANIA

CAR MASSAGE ZIMEFIKA TANZANIA

mtindi 22

Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
6
Reaction score
3
Uchunguzi umeonyesha moja ya magojwa yanaowasumbua watumiaji wa magari binafsi na madereva wa kiafrika ni magonjwa ya mgongo (spinal cord problems) hii huonekana zaidi wakati wa uzeeni au baada ya kustahafu kwa wale wafanyakazi wa ofisi . Njia pekee ya kuzuia matatizo haya ni Kwa kutumia massage ambayo huwekwa katika kiti cha gari. Kuipata piga 0658410107 au 0785775796
IMG-20170812-WA0045.jpg
IMG-20170812-WA0044.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchunguzi gani umefanyika kugundua kuwa spinal cord problems zinakuwa prevented na hizo car massages?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom