Hivi bima huwa inahama ukiuza gari? Au itabidi atumie kwa jina lako hadi may 2015?
Ukiiuza bima inakuwa imekwisha.
Kama hiyo Bima inakubalika katika mazingira haya ya kuuza, kuna mtu atainunua hiyo gari na kwenda kuidumbukiza mtoni au kuichoma kisha akachukue 15m zake, faida almost 100%
Ila una hekima. Ungeharibu.
Kama hiyo Bima inakubalika katika mazingira haya ya kuuza, kuna mtu atainunua hiyo gari na kwenda kuidumbukiza mtoni au kuichoma kisha akachukue 15m zake, faida almost 100%
Idimi, Mnyamwezi wa Urambo nimeelewa mnachosema. Ila Disuma nadhani anataka kuwaingiza chaka.Bima ya 15m ni security kwa wewe mtumiaji incase kama ikitokea ajali, wizi wa gari mmiliki anabenefit alot....
Na pesa hiyo ndiyo nliyokuwa nalipia tangu niliponunua gari so sikuona sababu ya kuipunguza.
ASHA NGEDELE nadhani ushaelewaNafikiri hujaelewa. Soma vizuri
hahaha hapo ulikuwa hujaelewa braza.
Eid poa, nna mialiko kama mitatu hivi hapa nshakunywa dawa ya kuswafi tumbo. Labda unialike iddi pili