sh ngapi nimnunulie mke wangu? Manake kwa vipodozi kazidi, anatembea na kioo mpk jikoni.
Hicho kwenye gear lever ni nini?
Hicho kwenye gear lever ni nini?
Sheria ya hela ni kwamba "KAMA HUNA UNATUMIA ZA WENZIO"Kututananisha tu wengine na senti hakuna.
Sheria ya hela ni kwamba "KAMA HUNA UNATUMIA ZA WENZIO"
Nalog off
nafarijika kusikia hilo.Nimekuelewa mpenzi....
haha nimeipenda...
nafarijika kusikia hilo.
Nalog off
Santeee mpenzi wangu.faraja yako ndo furaha yangu...