Car alarms

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Jamani wadau nisaidieni, nahitaji car security system zile ambazo kuna hidden switch kama mtu hajui ilipo hawezi kuwasha gari pamoja na alarm yake, zinapatikana wapi hapa Dar na kwa sh ngapi roughly? aina gani za alarm ndio nzuri zaidi? ahsanteni!
 
sasa kuna vifaa unaweza kuweka simcard ndani na badala ya kutoa alarm unapata msg au unaweza kutuma command kupitia cm yako kuzima gari ikiwa unahisi limeibiwa, n.k
 
nadhani auto watch ni nzuri, bei max ni 180000 (pamoja na kufunga). Kariakoo ule mtaa wanapouza speaker na radio za magari (mtaa unaoenda kukutana straight na barabara ya umoja wa mataifa) kuna maustaadh fulani hufunga. Pata fundi mzuri unapoweka alarm, maana ukimpata kilaza anaweza kukuunguzia gari, hasa umeme wa gari ukiwa coplicated.
 
Kama upo dar wasiliana na huyu jamaa anaitwa Mohammed 0713477129 au 0688 688 688. Anazo alarm za aina mbali mbali na bei tofauti.
 
Mtafute huyu jamaa 0713212441 wa DSM ana aina ya hiyo car alarm unayotaka. Miaka mi2 iliyopita alinitafutia kwa shs 150,000 pamoja na kufunga!
 
nawashukuru sana waheshimiwa, ngoja nifanyie kazi hiyo michakato!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom