Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )
Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )
kwenye boda boda ni bei poa saana kama gharama zingine zikiwa constant boss unaweza kupata kwa laki mbil na nusu kama una order ya unit atleast tano mkuu @250,000 TZs
Hii niliweka mie kwa Jamaa mmoja naitwa Charles ndio waliniwekea.
Halafu wadau mjue kuna features nyingi sana,na sidhani kama naweza kuweka bei zoote hapa.
Nakubaliana na mleta mada kwamba lazima kwanza upate ushauri wa maana hasa.
Unaweza kupewa bei ya unachohitaji bila kujua zaidi ya huduma za ziada katika hilo hilo ombi lako.Na zinatofautiana sana kutokana na muhitaji.
So,nahisi kupigiwa sim ni muhim zaidi ili ajue unataka nini hasa,maana gps na uelewa wa wengi ni tofauti sana,watu wengi wanajua ni ku track gari tu wakati kuna mengi zaid ya hayo
Taja bei kwanza
New! New!
New Released, smartest Security Over Traditional Car Alarms!
Two in one Vehicle GPS system and Car Alarm!
New GPS vehicle tracker that works as an alarm ... A tracker and an alarm;
The system uses Your Smart Phone as a special Identification, as you leave your car automatically the system disable/arm your car and as you approach your car it disarm automatically. ** When in arm state,
the vehicle is in an immobile state;
if any person irregally atempts the following an alert will come to your mobile phone :- 1.Open Doors
2. Ignite the engine even if with legitimate switch.
3. The vehicle being towwed away.
The system is installed with microphone by defaults. .. Mic enables you to hear conversations taking place from your car anywhere any time.
Real time... Free platform... No additional Costs... One time diming..
Contact person:
+255683419417
For inquiries and Price quotations:- info@interactiveittz.com
More details:- Interactive Informatics Co. Limited
Asante boss..
Kuna contact hapo tunaweza tukawasiliana kitu tunachofanya ni consultation pia kabla ya kuuza bidhaa na huduma...
Hivyo kwaninj ukose sehemu ya consultation kwa kuona bei na kuchukua hatua ya kujipanga boss...
Tunauza bidhaa tu huduma zoote ni bure boss...
Asante
Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )
weka bei wacha maneno mengi?? mambo ya kutafutwa haina maana weke bei hapa maana humu kuna mafundi wengi tujue kama tunakutafuta au tunamshauri mteje tuwe tunajua garama zake.yaani tz tutakuwa mwisho kila siku KWA kila kitu hivi mkuu Hembu angalia hiyo bidhaa unayouza wewe huko KWA wenzetu uone kama wameandika tuwasiliane kama unahitaji??
Ngoja mm nimsaidie kuweke bei Ngoja tuingie sokoni tuone wanaiuza bei gani?? haina jinsi maana hata upigaji wenyewe usipojipanga utastukiwa au kupigwa wewe
Ngoja mm nimsaidie kuweke bei Ngoja tuingie sokoni tuone wanaiuza bei gani?? haina jinsi maana hata upigaji wenyewe usipojipanga utastukiwa au kupigwa wewe
New! New!
New Released, smartest Security Over Traditional Car Alarms!
Two in one Vehicle GPS system and Car Alarm!
New GPS vehicle tracker that works as an alarm ... A tracker and an alarm;
The system uses Your Smart Phone as a special Identification, as you leave your car automatically the system disable/arm your car and as you approach your car it disarm automatically.
** When in arm state,
the vehicle is in an immobile state;
if any person irregally atempts the following an alert will come to your mobile phone :-
1.Open Doors
2. Ignite the engine even if with legitimate switch.
3. The vehicle being towwed away.
The system is installed with microphone by defaults. .. Mic enables you to hear conversations taking place from your car anywhere any time.
Real time... Free platform... No additional Costs... One time diming..
Contact person:
+255683419417
For inquiries and Price quotations:- info@interactiveittz.com
More details:- Interactive Informatics Co. Limited
DEAR CUSTOMERS, WE HAVE WIDE RANGE OF PRODUCTS, THAT CAN FIT YOUR SECURITY NEEDS ON VEHICLE, REASON WHY WE DONT NAME PRICE BECAUSE IT NEEDS AN INQUIRY THAT RESULTS TO CONSULTATION SO AS WE CAN DELIVER THE BEST OUT OF OUR BEST THAT SUITS YOU BETTER...
A SERIES OF CATEGORIES, A SERIES OF PRODUCTS AND SERVICES THAT TO NAME A PRICE NEEDS QUOTATION AND OR CATALOGUE!
SORRY FOR INCONVENIENCES IF OCCURED!
SINCERELY!
Consultants Team interactiveittz.com
Mkuu nisaidie hivyo vifaa ulinunua wapi na bei gani?? Nataka kufunga kwenye bajaji zanguHuu mfumo ni mzuri saana naunasaidia sana.
Maana mie shuhuda na nimeufunga kwenye Ci Carry vyangu,na bodaboda.
Nitakujaribu mkuu kama nikinunua gari nyingine ili kuona na nyie mpo vipi
Mkuu mi nataka ya kufunga kwenye bajaji bosiHabari ya kwako boss..
Kwenye boda boda naomba tuwasiliane..
Kwasababu boda boda inafanya kazi kwa muda mrefu saaana ukiringanisha na gari Kwahiyo performance ya system yake lazima iwe kutokana na sifa za ufanisi wa boda boda...
Ni mfumo mwingine toafuti na huu pia bei yake ni rahisi mno..
Utasisimuka.
Naomba tuwasiliane boss