Captain

Captain

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Wavuta bangi 2 walisimama kituoni kusubiri daladala, mmoja akamuuliza mwenzake tutalijuaje? akamjibu litakalo simama hapa ndio hilo, akamuuliza tena na konda tutamjuaje? akamjibu atakae kugusa bega ndio konda. Likaja daladala wakapanda muda kidogo mmoja akashikwa bega akatoa nauli kumpa aliemshika, yule jamaa akamwambia mimi si konda ni captain, yule mvuta bangi akamgeukia mwenzake akamwambi si unaona ushauri wako mbovu sasa tumepanda meli badala ya daladala.
 
wavuta bangi 2 walisimama kituoni kusubiri daladala, mmoja akamuuliza mwenzake tutalijuaje? Akamjibu litakalo simama hapa ndio hilo, akamuuliza tena na konda tutamjuaje? Akamjibu atakae kugusa bega ndio konda. Likaja daladala wakapanda muda kidogo mmoja akashikwa bega akatoa nauli kumpa aliemshika, yule jamaa akamwambia mimi si konda ni captain, yule mvuta bangi akamgeukia mwenzake akamwambi si unaona ushauri wako mbovu sasa tumepanda meli badala ya daladala.

haichekeshi,kajipange upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom