Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Pumzika kwa amani mheshimiwa Komba
Hahahaaa, wewe naye?
Mbona unaguna mheshimiwa...??
sasa nyimbo tutatoa wapi?
Nimecheka sana. Hivi kweli ccm wanapitaga mitaa hii? Maana misiba ya ccm Mitandaoni huwa ni sherehe kubwa.CCM badilikeni basi jamani Dunia tunapitaBado maknd. Na six...
nilihoji siku 1 yule jamaa kulala lala kwake Bungeni ni ugonjwa...kumbe kweli
Umeona mwili Wa marehemu? Loh sio kuvimba kule yule atakuwa hajafa Leo aiseeh..
Vyama Pinzani mbona hamtoi TAMKO la kifo cha Mh. J.Komba?