ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,412
- 88,502
Huyu dogo wa Burkinafaso bangi na ujana vinakusumbua yaani ana mihemko ya umri.
Yaani mtumwa Uasi harafu utake kuonewa huruma? Hizo ni bangi za Burkinabe ni Kali kuliko za Arusha.Mtumwa ukiasi stahiki Yako ninkitanzi.
Putin na Wagner acheni kuharibu Vijana Wetu,huyu dogo analaumu Wazungu na Viongozi wa Afrika kwamba ni ma pappets wa Wazungu wakati na yeye anafanya vile vile kuwa pappet wa Russia.
Mpaka hapo anapata wapi jeuri ya kuponda wenzie? Mihemko kama hii ndio ilifanya kina Sankala,Lumumba na wengineo kupotea kwenye uso wa Dunia.
My Take
Dogo atulie aache mihemko, watu wanahitaji ustawi wa Maisha yao sio misemo na nahau, atakuja kufanywa vibaya.