Capital Gain Tax ni nini?

Capital gain ni tofauti kati ya bei ya kuuzia au bei ya soko na gharama uliyotumia kwenye hiyo mali yako. Mfano kama hiyo nyumba ilikugharimu TZS 60 million na una vielelezo, Kodi ya ongezeko la mtaji ni (TZS 134-TZS60) X 10% =TZS 7.4 million
 
Hapana sio hivyo mkuu. Capital gain ni 10% ya net profit. Kwa mfano gharama halisi ya kununua nyumba ni 3,000,000 halafu ikauzwa kwa 4,000,000, faida yake ni 1,000,000. Capital gaini ni 1,000,000×10% = 100,000.
Haya ndio maelezo sahihi.
(1)....CGT hulipwa na muuzaji (mmiliki wa awali) wa property pindi auzapo mali zake. Kinacholeta ukakasi katika tozo hii ni definition ya bei ya soko (market price/value). Nijuavyo mimi, bei ya soko, kwa case hii, ni Tzs 80m/-. Hiyo thamani ya valuer ni book value ambayo hapaswi kuwa base ya charge ya CGT.

(2).... kwa hiyo, calculation (proper) ya CGT ilitakiwa kuwa Tzs 80m/- (market value) kutoa (thamani ya kiwanja/bei ya kiwanja kiliponunuliwa [+]; gharama za vifaa vya ujenzi vilivyotumika kujenga nyumba husika[+]; gharama za ufundi na muda wa usimamizi[+]; na gharama nyingine, mfano, kama kuna mwanafamilia alilazimika kuacha/kupoteza mapato fulani ili apate muda wa kusimamia ujenzi wa nyumba husika).

3..... kama tofauti kati ya (1) na (2) ni K (positive), basi CGT inakuwa .....K/Tzs. 80m/*10% .

Vinginevyo kilichofanyika hapo TRA Mara/Musoma ni wizi mtupu
 
Mkuu naona kuna haja yankutafuta watalaam.. wanisaidie
 
Ukiangalia kwenye website ya TRA wanasema capital gain ni faida ambayo mwuzaji ameipata.

Kwa hiyo kwa uelewa wangu kama.market value ni kubwa kuliko pesa nilitopolea kwa mauzo maana yake sikutakiwa kulipa.. ni kama nilipata hasara.
TRA siku zote ni waonevu, mfano mtu unapanga fremu halafu eti ukienda kuomba TIN wanakuambia ulipe withholding tax ya kodi ya nyumba akati hiyo angepaswa kulipa mwenyenyumba
 
Hahaha ungewapa TRA wakuuzie hiyo nyumba kwa mil 134, ushauza mil 80 wao wanajidai hawaelewi utadhani wameshuka taka Jupiter.

Mtu anauza mali au rasilimali kwasababu ya shida, wao wanakuongezea shida.

Ungekuwa hujauza ningekushauri uiache tu.
 
Capital gain haiko hivyo kama wengi walivyoelezea.

Capital gain is charged 10% of the whole amount uliyolipwa and not the net profit.

Na pia serikali ina wajibu wa kujiridhisha ili kusitokee udanganyifu kwenye hati za mauziano.

Kama ilivyo kupata gharama halisi ya magari kwa ambao wameishaagiza, inachukuliwa value iliyo juu
 
Nadhani hupo sahihi...
 
Matengenezo wataulizia kibali cha mategenezo na risiti za manunuzii.
 
Aaaargh ushakosea. Yaani hapo ulitakiwa mkubaliane mnauziana kiwanja tu. Na anaefanya evaluation ya kiwanja unaongea nae aweke pesa ya chini tu hata milioni nane au tano. Hata ukipewa 10% maamamaaae haizidi hata million moja.
Sema kiwanja kisiende kutembelewa sasa wakati wa hizo sarakasi zenu za evaluation ya kiwanja.
Hayo masuala ya hiyo nyumba si ni kwamba mtu kajenga soon after kununua.
Hujachelewa lkn.
 
Ni wizi MTUPU wa hii Serikali dhalimu kuwaibia Watanzania.

 
A capital gain refers to profit that results from a sale of a capital asset, such as stock, bond or real estate, where the sale price exceeds the purchase price. The gain is the difference between a higher selling price and a lower purchase price.

Lala nao mbele hiyo definition yao ya capital gain is not accurate but you need to prove to them the total cost of building that house in order to determine the profit from the sale price of 80 millions.



 
Do hii mada ni mhim sana
 
Kumbe pamoja na kuleta vijisred uchwara vya kumtusi JPM kumbe bado ni kinda! Tunakusamehe
 
What you have written here below is inaccurate.

This is accurate:
sale price (80 million) - cost price (60 millions assumption) = profit or capital gain is 20 millions and 10% capital gain tax amount to pay is 2 millions

Chukua 134m toa gharama za kujengea hio nyumba, then 10% ya kile kinachosalia ndio capital gain tax, otherwise wanakuibia
 
Mstari wa mwisho ndio penyewe hapo
 
Ubarikiwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…