Mie siku hizi nimeishakuwa sugu, wamenisumbua sana kiasi kwamba siwaogopi tena.. unakosa raha kabisa ukiona simu ya TRA ila siku hizi wanapiga simu au kutuma barua nawapiga kabisa na sound.. wao hawajui uharisia wa biashara na pesa zake zaidi ya kuzitaka tu hizo pesa zetu..Labda kwa nyumba ya juzi juzi, wengine nyumba imejengwa 1997....ukiwachekea tu tra wanakutwanga kisawasawa.
Tatizo sio TRA kumbuka sheria zote zaukusanyaji wa kodi mbovu utungwa bungeni na wabunge wa ccm kwa kura za ndiyoooooMkuu onavyo onekana TRA ni tatizo.. kubwa sana kwa wananchi
Umemaliza mzeeMkuu ipo hivi: Kwa mfano ulinunua nyumba kwa 80,000,000 halafu ukaja kuiuza kwa kwa 90,000,000 utapata faida ya 10,000,000. Hivyo capital gain tax ni 10,000,000×10% = 1,000,000. ...Hakikisheni kwenye gharama zenu za kuinunua hiyo nyumba zinakuwa kubwa ili kupunguza faida. Kwa mfano kama mliinunua kwa 80,000,000 lazima kuna gharama zingine mliingia kama vile ukarabati, dalali, etc. Ongezeni hizi gharama kwenye nyumba ili nyumba ionekane iliwacost hela ndefu. Gharama ya ununuzi ikiwa kubwa mtajikuta mmelipa kodi ndogo sana.
Na tulivyo sio watunza kumbukumbu, ndo tumeishaProbably hakuattach construction cost evidences
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu kugoogle napata maana nyingine hata kwa Tanzania na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingeuza nyumba. Tuibakize iwe ya urithi?
Anayetakiwa kutoa ni muuzaji wa bidhaa na si mnunuzi. Kwa sababu mnunuaji hapati faida,Anaepaswa kulipa capital gain tax ni nani? Mnunuzi wa nyumba/kiwanja au ni muuzaji?
kwanini ukichukua salers les cost unapata nini? kunatafuauti gani ulichoandika na kile nimeandikaHapana sio hivyo mkuu. Capital gain ni 10% ya net profit. Kwa mfano gharama halisi ya kununua nyumba ni 3,000,000 halafu ikauzwa kwa 4,000,000, faida yake ni 1,000,000. Capital gaini ni 1,000,000×10% = 100,000.
Yeye pale ameandika 134m kama valuation wakati hiyo ni market value tu na ameuza sio kwa bei hiyo.kwanini ukichukua salers les cost unapata nini? kunatafuauti gani ulichoandika na kile nimeandika
TRA wamechukua the Higher of Selling price and market value (Valuation ndio market value ya tra)Yeye pale ameandika 134m kama valuation wakati hiyo ni market value tu na ameuza sio kwa bei hiyo.
Sasa huwa haiendi hivyo mkuu. Kinachotakiwa kutumika ni actual sales sio market value. Hawezi kutozwa kodi kwa hela ambayo hajaipokea. Naongea kwa kujiamini kwa sababu hii taaluma ya kodi ndio inayoniweka mjini.TRA wamechukua the Higher of Selling price and market value (Valuation ndio market value ya tra)
Sasa huwa haiendi hivyo mkuu. Kinachotakiwa kutumika ni actual sales sio market value. Hawezi kutozwa kodi kwa hela ambayo hajaipokea.
kila mtu akianza kuleta kisomo si hatari, poa mkuuSasa huwa haiendi hivyo mkuu. Kinachotakiwa kutumika ni actual sales sio market value. Hawezi kutozwa kodi kwa hela ambayo hajaipokea. Naongea kwa kujiamini kwa sababu hii taaluma ya kodi ndio inayoniweka mjini.
Je kama hajanunua bali kajenga?
Nikuulize swali fikirishi kidogo tu mkuu. Hivi kwa mfano una nyumba yako ambayo thamani yake ni 50,000,000 lakini kwa sababu una shida let's say unauguliwa na mtoto, ukajikuta umeiuza hiyo nyumba kwa 30,000,000 ili upate hela haraka kwa ajili ya matibabu. Unadhani kati ya 50ml na 30ml ni wapi basis ya kodi itaangukia? ...50ml ni market value, 30ml ni actual sales.kila mtu akianza kuleta kisomo si hatari, poa mkuu
Gharama zote za ujenzi ndio cost ya nyumba.Je kama hajanunua bali kajenga?