Pole sana mkuu kwa usumbufu huo.Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Pole sana mkuu kwa usumbufu huo.
====
Sasa kama market value ni hiyo, wanakataje tena 10%!? Kumbe na mimi nahitsji shule kujua ni vigezo gani hawa watoza kodi huwa wanatumia kuweka viwango vya kodi.
Asante sana Mkuu, kwa elimu hii. Basi mrudishiwe 13.4 mil yenu kama mlikuwa mmeisha lipa. Halafu hao wanaweka market value kubwa hivyo maana yake wao sasa ndiyo wanasababisha mfumuko wa bei! Mimi nilitegemea, anayeuza bidhaa kwa bei ya chini alitakiwa kupongezwa na kupewa zawadi kwa kitendo chake cha kishujaa cha kudhibiti mfumuko wa bei. Sasa yeye eti ndiye anaadhibiwa...! Watu wakodi jamani ebu tupe elimu ya kutosha. Maana bila kutupa elimu yenu hii tunaweza kuanza kuwawazia mambo ambayo uwenda si sahihi!Ukiangalia kwenye website ya TRA wanasema capital gain ni faida ambayo mwuzaji ameipata.
Kwa hiyo kwa uelewa wangu kama.market value ni kubwa kuliko pesa nilitopolea kwa mauzo maana yake sikutakiwa kulipa.. ni kama nilipata hasara.
Asante sana Mkuu, kwa elimu hii. Basi jamaa arudishiwe 13.4 mil yake kama alikuwa ameisha lipa. Halafu hao wanaweka market value kubwa hivyo maana yake wao sasa ndiyo wanasababisha mfumuko wa bei! Mimi nilitegemea, anayeuza bidhaa kwa bei ya chini alitakiwa kupongezwa na kupewa zawadi kwa kitendo chake cha kishujaa cha kudhibi mfumuko wa bei. Sasa yeye eti ndiye anaadhibiwa...! Watu wakodi jamani ebu tupe elimu ya kutosha. Maana bila kutupa elimu yenu hii tunaweza kuanza kuwawazia mambo ambayo uwenda si sahihi!
Kwa mara nyingine asante sana Tabutupu kwa elimu hii ya capital gain.
TRA angekuwa ni mtu mmoja, ningeisha muua hata kwa kumloga kwa kila aina ya uchawi, ni mateso sana hawa kwa taifa ni mwiba kabisaMkuu onavyo onekana TRA ni tatizo.. kubwa sana kwa wananchi
Baba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.
Tuliyemuuzia akataka kufanya transfer kwenda kwenye jina lake.
Halmashauri wakatuomba kitu kinaitwa evaluation ambapo wakathaminisha nyumba na kusema ina thamani ya Mil 134.
Nyumba ina mwaka kama mmoja toka iishe.
Sasa baada ya kumalizana na hamashauri, wananiambia niliyemuuzia haweza kubadili jina kama sijalipa Capital Gain Tax.
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu kugoogle napata maana nyingine hata kwa Tanzania na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingeuza nyumba. Tuibakize iwe ya urithi?
Capital gain tax ni mojawapo ya kodi ya zuio ambayo muuzaji wa asset anatakiwa kulipa. Faida ndio inayotozwa kodi. Kama ni raia wa Tanzania ni 10% na kama ni mgeni ni 20%. Hii inaaply kwenye asset kama nyumba na ardhi.Baba angu ameuza Nyumba hapa musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri .. na amenipa jukumu na jukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.
Tuliye mwuzia akataka kufanya transfer kwenfa kwenye jina lake.
Halmashauri wakatuomba kitu kinaitwa evaluation ambapo wakadhaminisha nyumba na kusema ina thamani ya Mil 134.
Nyumba ina mwaka kama mmoja toka iishe.
Sasa baada ya kumalizana na hamashauri , wananiambia niliye mwuzia haweza kubadili jina kama sijalipa Capital Gain Tax.
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu ku google napata maana nyingine hata kwa Tanzania.. na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingenuza nyumba.. tuibakize iwe ya uridhi?
Chukua 80m toa gharama za kujengea hio nyumba, then 10% ya kile kinachosalia ndio capital gain tax, otherwise wanakuibiaBaba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.
Tuliyemuuzia akataka kufanya transfer kwenda kwenye jina lake.
Halmashauri wakatuomba kitu kinaitwa evaluation ambapo wakathaminisha nyumba na kusema ina thamani ya Mil 134.
Nyumba ina mwaka kama mmoja toka iishe.
Sasa baada ya kumalizana na hamashauri, wananiambia niliyemuuzia haweza kubadili jina kama sijalipa Capital Gain Tax.
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu kugoogle napata maana nyingine hata kwa Tanzania na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingeuza nyumba. Tuibakize iwe ya urithi?
Probably hakuattach construction cost evidencesChukua 134m toa gharama za kujengea hio nyumba, then 10% ya kile kinachosalia ndio capital gain tax, otherwise wanakuibia
Hapana sio hivyo mkuu. Capital gain ni 10% ya net profit. Kwa mfano gharama halisi ya kununua nyumba ni 3,000,000 halafu ikauzwa kwa 4,000,000, faida yake ni 1,000,000. Capital gaini ni 1,000,000×10% = 100,000.Chukua 134m toa gharama za kujengea hio nyumba, then 10% ya kile kinachosalia ndio capital gain tax, otherwise wanakuibia
Labda kwa nyumba ya juzi juzi, wengine nyumba imejengwa 1997....ukiwachekea tu tra wanakutwanga kisawasawa.Probably hakuattach construction cost evidences