Weka particular za gari vizuri hapa kama engine type, make year, imported from Dubai or Japan? inasaidia sana kufanya maamuzi. Ila dah mkuu mbona bei kali sana? Tani 3.5 nilikuwa natafuta nitapata? Na bei je?wadau nauza canter Tani moja na nusu kwa bei chee sana,
imetembea kilometer 46,000 tu! na namba ni CRN ina muda mchache
sana tokea ifike tanzania na imetumika muda mchache sana.
Ina ki kitu na AC inafanya kazi...
Bei inaanzia mil 20, kwa muhitaji anitafute
hahah mkuu kweli naweka details kaka now,tani tatu na nusu mkuu sijajua mm hiyo ni yangu niliagiza ila for now nina shida fulani ndio maana naiuzaWeka particular za gari vizuri hapa kama engine type, make year, imported from Dubai or Japan? inasaidia sana kufanya maamuzi. Ila dah mkuu mbona bei kali sana? Tani 3.5 nilikuwa natafuta nitapata? Na bei je?
Weka particular za gari vizuri hapa kama engine type, make year, imported from Dubai or Japan? inasaidia sana kufanya maamuzi. Ila dah mkuu mbona bei kali sana? Tani 3.5 nilikuwa natafuta nitapata? Na bei je?
Model Number ni (1.5 tons Flatbody U-FB511B FB511B-403067)
View attachment 146086
Hiyo bei yake ukiongeza 13,000 una Fuso Fighter Dump safi kabisa toka Japan
wadau nauza canter Tani moja na nusu kwa bei chee sana,
imetembea kilometer 46,000 tu! na namba ni CRN ina muda mchache
sana tokea ifike tanzania na imetumika muda mchache sana.
Ina ki kitu na AC inafanya kazi...
Bei inaanzia mil 20, kwa muhitaji anitafute
vipi mkuu hiyo canter bado ipo kama ipo toa namba yako tuwasiliane