Canter au Isuzu inahitajika

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
mwenye nayo canter au isuzu ton 3 1/2 ani pm fasta....kuna jamaa yangu anaitakaaa..offer yake 15 mln.iwe nzima
 
Hata chasis kwa bei hiyo mwambie hapati,iko forward mwambie aleta 46, tandem
 
Hata chasis kwa bei hiyo mwambie hapati,iko forward mwambie aleta 46, tandem
sitaki hyo tandem mkuu....canter mayai new model tu ni mln 37
 
Kwa 15m ndugu yangu huyo mtu hajui magari vizuri, huwezi pata, labda tani moja nusu jamaa ameiongelea hapo, mi ninayo isuzu elf tani nne, ila ina shida engine, iko vizuri kabisa, 17m nakupa kiroho safi
 
duh duh wakuu naona tuna banianaa jamani....bob nash..tatzo kuu la engine ni nini
 
inahitaji overhaul, au kiuhakika zaidi uweke ya fuso.
 

Attachments

  • 20140406_161802.jpg
    1.5 MB · Views: 203
  • 20140406_161731(0).jpg
    1.4 MB · Views: 151
  • 20140406_161746.jpg
    761.4 KB · Views: 157
Bob Nash mbona umepiga picha za kichoyo au wewe ni dalali.....piga dash bord ya ihi gari..na vipi tatizo ni injini tu au kunatatizo jingine usije kuta imepasua difu na tairi vipi nikibadili injini zitafaha kupigia mzigo angalau kwa miezi sita au majangaaaaaa....gari ipo wapi kwa kuidhaminisha zaidi niione tuweze fanya bihashara
 
Last edited by a moderator:
Kuna Isuzu nkr iko tanga Ambani plantation inauzwa 15.5 Na wanakufanyia transfer. Kama uko serious fuatilia! Ina body ya box board. Msiniulize picha nendeni tanga Ambani plantation
 
Mitsubishi Canter Mayai ina box body ya aluminium wenyewe wanaita container ina mlango ubavuni na nyuma pia ina mlango wa jeki ya umeme kupakia na kushusha vitu vizito..hali nzuri sana hadi kiyoyozi kipo safi
0758555555
 
canter mayai ipo gongo la mboto .Namba B. 17mil contact 0713959290
 

Gari iko tabata unaweza kuja iona, 0786914111, mawasiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…