Canon profecional camera dm-xl1e inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Canon profecional camera dm-xl1e inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Aug 10, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii ni Camera ya kazi inawafaa wale wenyekushughulika na uandishi wa habari au wenye kushughulika na mambo ya shooting movies n.k.Ni Camera nzuri sana na imetumika lakini ipo katika hali nzuri lakini ina tatizo moja dogo la firewire lakini linatengezeka sana MODEL yake DM-XL1E utapata mambo mengi zaidi.Bei yake ni shs milioni 1.4 wasiliana na Habibu 0717810318
   

  Attached Files:

 2. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45

  mbona mpya inauzwa us dolla 350 sawa na sh 630,000 za tanzania ukiweka hata ushuru haiwezi kufika sh 1milioni
  soma hapa
  CANON DM-XL1A CAMCORDER DIGITAL VIDEO CAMERA 3CCD XL1 | eBay

  au

  dentified as Canon XL 1 Camcorder - Black/White in category: Bread Crumb LinkCameras & Photo > Camcorders
  Mouse over image to zoom


  Sell one like this CANON DM-XL1A CAMCORDER DIGITAL VIDEO CAMERA 3CCD XL1Item condition: Used

  Time left: 15h 37m 48s (Aug 10, 201218:00:35 PDT)


  Current bid: US $350.00 [ 16 bids ]

  Place bid

  Place bid
  Enter US $355.00 or more

  Add to Watch list

  New customers get $10 back on 1st purchase
  Subject to credit approval.See terms


  Shipping: $40.00 - Standard Shipping


  | See all
  shipping details
  Item location: Miami, FL, United States
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  [h=1][/h][TABLE="class: vi-is1"]
  [TR]
  [TH="class: vi-is1-lbl"]Item condition:
  [/TH]
  [TD="class: vi-is1-clr, colspan: 3"]Used
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 4. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu labda huelewi vizuri mauzo ya Ebay kwasababu ile ilikuwa ni bei ya mwanzo wa mnada na kawaida mnada bei inaongezeka tena ni vizuri ukaingia tena ktk Item hiyohiyo ambayo hajaiuza kutokana na bei haikupanda na zipo nyingine utaziona na bei zake mpaka dola 800 na pengine na kuendelea.Mkuu navijua vitu hivi sana na bei zake nazijua kwahiyo chunguza vizuri uone kwa macho yako.Najua lengo lako ni kuharibu biashara yangu lakini nategemea zaidi kwa wale wenye kuvijua vitu hivi wanajua vizuri bei zake kwahiyo sina wasiwasi na hilo.
   
Loading...