Canon profecional camera dm-xl1e

Canon profecional camera dm-xl1e

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
Nauza hii Camera ambayo itawafaa wenye kurecodi shughuli mbali mbali za kibiashara.Camera ni nzuri sana na inafanya kazi bila wasiwasi wowote na inatoa Quality picture na kwa wanayoijua watafahamu nasema nini.Niliwahi kuitangazia wiki mbili au tatu zilizopita wakati ilikuwa haijafika nchini na ikapata watu wengi na nikamchagua mmoja kumuekea lakini mpaka sasa hajafika kuinunua.Kwakuwa mimi nahitaji pesa kwa haraka hivo nairudisha mtandaoni na atakae kuja fasta na pesa ndio itakuwa mali yake.Camera hii model yake ni DM-XL1E unaweza kuangalia ktk google na kuona bei zake kwani hapa naiuza bei ya chini ili niuze kwa haraka.Bei yake ni 1.8 milion na haipungui.Naomba wasiliana na HABIBU 0717810318 au kama unaswali lolote unaweza kunitumia PM.

Camera inakuja na
-Profeciona Light
-Head Phone
-Microphone
P1010892.JPG $(KGrHqNHJCEE8l,Vd1fgBPNqkp04W!~~60_12.jpg $(KGrHqNHJDcE8fTfy3)NBPNqkqHG,!~~60_12.jpg
 
Bei ni ndogo sana kwa bei ya kawaida labda ningeuza 3.5 milion unaweza uka-Google hiyo model.Na vilevile nimeilipia usafiri kutoka uingereza mpaka Bongo.Kwa yule mjuzi wa Camera hizi atajua kama ni camera nzuri ambazo hata huku uingereza wanazitumia sana ktk kazi za uandishi ama kwa kazi nyingine.Kwa milioni moja ndugu yangu haiwezi kulipa na bei niliyoweiweka ni rahisi sana ni bei ya haraka mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom