Canon IR 2202 Photocopier Inauzwa

Amani kwenu wadau,

Ninauza photocopier yangu aina canon image runner 2202 ni nzuri sana, kwa wanaoijua wanajua nini nacho maanisha.

Haina tatizo lolote, wewe ni kuchukua na kuanza kuifanyia kazi, wino na kila kitu upo. Toka niinunue nimebadilisha wino mara moja tuu kiufupi bado ni mpya.

Specification zake;
Ina - print, copy na scan 3 in 1

Speed ya printing na copy 22 ppm yaani inatoa copy 22 kwa mpigo kwa dakika moja kwa karatasi size ya A4.

Speed ya printing na copy 11 ppm hii ni kwa karatasi size ya A3, inatoa copy 11 kwa dakika.

Pia ina scan document aina yoyote mpaka size ya A3

Hizi specification ni kwa uchache ziko nyingi sana.

Operating System compatibility yake ni;

Windows XP/Server 2003/Vista/Server 2008/Windows 7/Server 2008 R2/Windows 8/Windows 8.1/Server 2012/Server 2012 R2, MAC OS X (10.5.8 or later)¹

Wino mmoja unatoa jumla ya copy 10400

Kwa anayehitaji anipigie hapa,
0754 669580

Bei 1,200,000/= maelewano yapo.

Karibuni napatikana dar tabata.

fa03931c1c3820aedda690b86b8c9b0d.jpg

5138ee43dedee344950b0f054e49007e.jpg


908eeb40988133a570920ad2f31f7c1d.jpg
Bado ipo?
 
mimi nnayo hiyo machine ipo vizuri nimetumia mwezi mmoja nahitaji sh laki 8,namba zangu ni 0623192212
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom