Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Nimechekea tu.Ulitaka kuandika nn??
Hapo ndo hata watafiti wanajiuliza,,maana akishamaliza kusex na kumla dume hukaa hadi miezi saba bila kula chochote.Interesting sana ila hapo kwenye ulaji wa dume baada ya kufanya mapenzi sijaelewa.Je kwa sababu jike hajaridhishwa kimapenzi na dume au ni hulka yao?Na kama ni kweli asee ingekuwa kwa binadamu hivi sasa chaz baba,diamond,mr blue wasingekuwa hai maana Wema angeshawala
Hakuna lugha yoyote ya picha mkuu.Nimeikosa link ila ninajaribu kuitafuta.Ulitaka kuandika nn??
Ni kweli mkuu ila vip kwa female kutafuta strong character,,inaaply kwenye mapenzi ya binadamu?Binadamu hali nyama ya dume bali waleti na contents zilizomondio zinaliwa
Hakuna lugha yoyote ya picha mkuu.Maudhui y hii tamthilia cjaielewa
alichoaandikaUlitaka kuandika nn??
Dear choiceful inbox me immediately, together will go places. I will build you maisonitte in grassless skies, there we will dwell happily for ever and a dayMajibu ya maswali yako kwa uelewa wangu ni kama ifuatavyo;
1. Nyoka jike huchagua dume lenye strong character kwa njia ya courtship display ambapo nyoka dume wengi hujiweka mahala pamoja na kila mmoja huanza kuonesha mbwembwe zake za kila aina muda huo jike linakuwa likimfatilia kila mmoja anacho kifanya.Then baada ya hapo jike huchagua lile dume ambalo limeonesha mbwembwe kuzidi wengine huku jike likiamini dume hilo ndo lenye strong genes na dume linakuwa limejishindia mke tayari kwa kwichi kwichi.
2. Jike humla dume ili kuweza kupata virutubisho ambavyo vitaweza kumsaidia kufanya nourishment ya mayai ya watoto watakao anguliwa.
NB: Praying mantis nao wana hiyo tabia ambapo jike humla dume.
** Courtship display kwa tafsiri sisisi ni kwamba ni tabia inayofanywa na baadhi ya viumbe kwa kuonesha maumbile yao au manjonjo kwa minajili ya kumvutia mwenza kwaajili ya mating.
Majibu mengine.
1: Ndiyo kwa binadamu ipo japo sio direct ndiyo maana huwezi kukuta msichana mzuri kama Mimi mars anachukuliwa na harmorapa.
2. Hauhitaji kutiliwa shaka kwasababu kuna hypothesis mbili zinaelezea kwanini wanawake ni wachaguzi(females are choiseful) ukipata muda zipitie ya kwanza ni ; Fischer's hypothesis na The handcap hypothesis.
Well said Mkuu.Nitafuatilia nizidi kupata haya maarifa.Majibu ya maswali yako kwa uelewa wangu ni kama ifuatavyo;

Imebainika kwamba nyoka dume na jike wafanyapo mapenzi jike huishia kumla dume anapomaliza kumshughulikia.Na pia nyoka jike ni kicheche na bado hutafuta dume ambalo ni strong character ili kufanya nae mapenzi.
Hapa utaona kwamba majoka dume huwa mengi yanaposikia harufu ya jike alie ktk siku zake na huwa kuna mashindano ya kumpata huyu jike ila ni mmoja tu katika mamia ya madume huwa na bahati ya kumshughulikia huyu nyoka jike..
Katika jamii ya hawa viumbe wa ajabu nyoka jike huwa na umbo kubwa na dume huwa na umbo au mwili mdogo kulinganisha na nyoka jike..Na pia Imebainika kwamba hawa madume hupenda majike yenye maumbo au miili mikubwa sana.Na jike anapopata ile strong character anayoitaka na yule dume anapomuingia huwa anammiminia hata kwa kitambo cha kuzidi siku nzima..Na hata dume likinyong"onyea kwa uchovu jike huwa halichoki linatoa macho tu na hatari humfika huyu dume kwamba mwisho wa siku huyu jike huwa haangalii shughuli alioifanya bali huishia kumla huyu dume pasi na huruma.
Pia baada ya madume kujua ubaya uliojificha kwa haya majike hujiepusha kummiminia kwa mda mrefu.Hivo hujichomoa na kuacha alama ambayo hata huyo jike akiwa na heat wakati mwengine atakuja na kumshindia bila competition.
Hawa watafiti wamejiuliza Yafuatayo
1.Hivi jike la nyoka huchagua vipi strong character mmoja katika mamia ya madume?
2.Kwa nini jike humla dume baada ya kumshughulikia??
Na maswali yangu
1.Hivi katika madume ya binadamu kuna strong character??
Maana kuna kidume kiko kimya kinaweza kikatafuna watoto wa mtaa Mzima.
2.Hivi uchaguzi wa wanawake wa kibinadamu unahitaji kutiliwa shaka??
Karibu uongeze,,unisahihishe na unikosoe,,,naomba kuwasilisha link nitazileta.

Hiyo ipo sana tu ila pesa ndio kigezo kikuu kwasasaNi kweli mkuu ila vip kwa female kutafuta strong character,,inaaply kwenye mapenzi ya binadamu?