Canalsat decoder official for football

unaipata kwa dish lipi na kwa uelekeo gani, je acc yake inaingia kwenye Q26
dish ni cm 90 ipo sattelite ya ses 4 22w, haitumii account kama za qsat hii ni official decoder kama zilivyo decoder za dst* na nyinginezo inatumia smart card na unalipia kwa mwezi ila ni nafuu sana.
 
New update on
m2ntz.blogspot.com
 
dish ni cm 90 ipo sattelite ya ses 4 22w, haitumii account kama za qsat hii ni official decoder kama zilivyo decoder za dst* na nyinginezo inatumia smart card na unalipia kwa mwezi ila ni nafuu sana.

Kifurushi cha kwanza cha chini cha bei ndogo na chanel ngapi nitapata, kulipia bei gain?
 
Haya mambo ya kuambiwa malipo unapitia kwangu, kaa nayo mbali, utaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…