hii ni chan'gamoto kwa tanzania, maana hizi noti zetu zilizokuja juzi hazijapitisha ata miaka 2 choka mbaya uatasema zimeshakaa kwenye mzunguko kwa miaka mingi, tuangalie na sisi uwezekano wa kuzitumia hizi za plastic although there expensive to manufacture but there durable meaning zitakaa muda mrefu katika mzunguko,