Canada yahitaji zaidi watu (soma)

Kuna mitihani wana fanya na kuwa certified, registered nurse. So anaweza fanya hizo kazi za care huku anasoma apate licence. Inawezekana na akifudhu tu hapo aliowaacha huku tz anawapiga gape mara 20 kwa kipato.

Hata accountant, anaweza jiongeza kuaoata certification huko na akafanya kazi.!
 
Aisee ndoto zangu zitatimia kumbe,Mungu ajaalie ,mkuu nikipata 4m inatosha nauli,pakuanzia kukaa ntakuomba unitaftie[emoji18]naomba namba yako ya WhatsApp ya Canada pls .
Changamkia fursa , fanyia kazi malengo yako..!
Usisikilize sauti za kukukatisha tamaa.. iwe implicitly, au kutoka kwa watu wengine...
Kile unachoona ni risk kubwa kwako kwa wengine ni jambo la kawaida sana...!
 
Elezea hizo process na ichambuwe hiyo 5mil namna gani itatosha kufika Canada
 
Mtaibiwa fedha zenu bure. Matapeli wengi wa kihindi na wengine wanatumia matangazo kama haya kuwaibia watu. Kanada ina upungufu wa kazi kwa kiwango cha aslimia kama tano na saba hivi. kwa habari zaidi soma hii The Daily β€” Labour Force Survey, November 2022
 
Nendeni jaman hio nchi inahitaji nguvu kazi last week nina rafiki yangu ameenda huko na mambo taratibu yanaanza kufunguka
 
Nendeni jaman hio nchi inahitaji nguvu kazi last week nina rafiki yangu ameenda huko na mambo taratibu yanaanza kufunguka
Pamekuwa pagumu sana kazi hakuna immigrant wamekuwa wengi nyumba bei juu
 
Siyo sahihi, Elimu za nchi hizi ni nyepesi sana, ndio maana mTO wanakjja degree huku nje wanakimbiza sana.

Nakuhakikishia, ukichukua wanafunzi pale KIBAHA/ILBORU ukawaleta hapa kwa degree wote watapata first class GPA,
Mkuu naomba mawasiliano yako Kuna nikuulize maana niko kwenye process za mwisho kwenda canada kutafuta maisha kupitia haya makaratasi yangu.
 
Hahahaaa! Afu wacanada wana mambo yao! Kuna jamaa yangu makambini huko ....kutwa kuchwa wanasafirishwa ngozi nyeusi zilizoamua kugeukia tabia za "kishenzi zisizokubalika katika jamii'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…