Canada Condemns Church Bombing in Tanzania

Canada Condemns Church Bombing in Tanzania

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
2,685
Reaction score
338
OTTAWA, Canada, May 7, 2013/African Press Organization (APO)/ – Andrew Bennett, Canada’s Ambassador for Religious Freedom, today issued the following statement:


“Canada strongly condemns the cowardly attack on the newly inaugurated Saint Joseph’s Roman Catholic Church in the northern Tanzanian town of Arusha, which killed at least two persons and injured more than 50 others.


“Our thoughts and prayers are with the victims and their families.


“Tanzania is one of Canada’s key partners in Africa. Tanzania is renowned for its religious tolerance. It is a country where Christians and Muslims, the country’s two most prevalent religious groups, generally live side by side in peace and harmony. This tragedy is a reminder that all countries must be vigilant against those who would seek to undermine religious freedom.


“Canada urges the Tanzanian authorities to launch a full investigation into the attack and to bring the perpetrators of the attack to justice.”

SOURCE : Canada – Ministry of Foreign Affairs Canada Condemns Church Bombing in Tanzania | Database of Press Releases related to Africa - APO-Source
 
Udhaifu wa Kikwete ndio umetuweka kwenye kioo cha dunia sasa kuwa ni nchi yenye machafuko. Mwaka jana tulipata watalii zaidi ya milioni moja but mwaka huu uko uwezekano wa kupiga hatua nyuma.

Mh Rais tulikwambia chukua hatua madhubuti kwa kila uchochezi wa kidini unaotokea nchini ukabaki kuchekacheka, ona sasa magaidi wamekuvua nguo. Ulishasema kuna misikiti imekusomea kisomo ili UFE lakini hujachukua hatua zozote wakati sheria ziko wazi kuwa kumtakia KIFO rais ni uhaini.
 
walaumuni wakina PENGO/KILAINI kwani hao ndo chanzo cha udini na mbaya zaidi wanajificha nyuma ya majoho yao..mmesahau chaguo lao la mungu na wengine walikua ni mashetani...dhambi yao ya unafiki inawarudia ata nyerere alisema
 
Taratibu Tanzania inaanza kukolea rangi ya machafuko, mdogo mdogo tu kama masihara vile, CUF magaidi, CUF wameingiza majambia, Chadema chama cha wakatoliki, Chadema chama cha kidini,werevu wanaonya, CCM wanachekelea kuingia madarakani kwa hila......haya sasa ngoja tuone mtamuongoza nani kila mtu akianza kutembea na bomu lake mfukoni huku tukiviziana.
 
​ee Mungu tuepushie haya,taratiiiibu naanza kusikia harufu ya damu
 
walaumuni wakina PENGO/KILAINI kwani hao ndo chanzo cha udini na mbaya zaidi wanajificha nyuma ya majoho yao..mmesahau chaguo lao la mungu na wengine walikua ni mashetani...dhambi yao ya unafiki inawarudia ata nyerere alisema

sidhani kama uko sahihi kuwajumuisha hawa watu, kwani mwenye mamlaka ya kuyakemea na kusimamia ipasavyo ili yasijirudie ni jk na nyie ndo mlimpa kura kwakuwa eti ni handsome haya sasa udini anawaachia na deni la taifa kalipandisha toka 5 trillion hadi 22 trillion ambalo hilo litakuwa na madhara mpaka kwa vitukuu vyenu
 
Taratibu Tanzania inaanza kukolea rangi ya machafuko, mdogo mdogo tu kama masihara vile, CUF magaidi, CUF wameingiza majambia, Chadema chama cha wakatoliki, Chadema chama cha kidini,werevu wanaonya, CCM wanachekelea kuingia madarakani kwa hila......haya sasa ngoja tuone mtamuongoza nani kila mtu akianza kutembea na bomu lake mfukoni huku tukiviziana.

Nadhani wanadhani njia ya kutugawa kiimani na kikabila ndo njia yao mbadala ya kubaki madarakani kwa kushindwa kujibu hoja za upinza, kilipo tu mjue mlifanikiwa kwa hii miaka 5 ila mingine ijayo labda mng'ang'anie madaraka ila kwa kura ni historia kwenu
 
Eeh Yesu, kirehemu kizazi hiki kilichopagawa na kubalaganyika, kinachomtolea kafara roho za watu ibirisi kikidhani kinakutolea wewe Muumba! Kimesahau Wewe Muumba umesisitiza USIUE kama amri yako muhimu kabisa na kupigia msitari UPENDO kwa jirani kama nafsi yako kuwa ndio nguzo kuu ktk imani! Mapepo/shetani ndio anaepapatikia kunyonya damu za watu, sasa ukimwaga damu ya mkristo kwa sababu ya ukristo wake au muislamu kwa sababu ya uisilamu wake, au mpagani kwa sababu ya upagani wake, UNATOFAUTI GANI NA MAPEPO KAMA CHUNUSI!? Ni wazi utakuwa umejikatia tiketi kuwa mfuasi wa damu wa shetani! Msiwe wabumbafu, kutembea na mabomu au siraha kwa ajili ya kumuua mwenzio ni uhayawani na wendawazimu usioelezeka. Tuyashinde mabaya kwa mema, tuwapenda na kuwaombea tu ili hayo mapepo yaliyowapagawa yawaachie ktk jina la Yesu, amen.
 
Back
Top Bottom