Can You See The Cat??

Boflo zamu yako na wewe sasa ..... Can You See The Cat?? in this photo?!

PICHA NA 3 --- Can you See the Cat in this Photo?

Boflo vipi umechemsha? - nikusaidie kukuonyesha au tuwasubiri wengine waje kujaribu katika hizi picha mbili (Na 2 & 3)
 
Boflo na Dotworld asanteni sana, inabidi nikamwone daktari wa macho.
Niko hapa da Mwajuma mwaJ. Vipimo bure, dawa/miwani utalipia........ si unajua: "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" - ??
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa da Mwajuma mwaJ. Vipimo bure, dawa/miwani utalipia........ si unajua: "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" - ??

Mkuu Asprin vipi na wewe umemuona Paka katika hizo picha au na wewe unajiunga na MwaJ kwenda kwenye vipimo?
 
Niko hapa da Mwajuma mwaJ. Vipimo bure, dawa/miwani utalipia........ si unajua: "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" - ??
Asprin tafadhani sana yaani unataka ufanyie majaribio kwenye macho yangu! Khaa! Hata kama you want to try something new, duh! sio kwa macho yangu. Btw, I'm not "Mwajuma" mkuu. That mwaJ is more than a mere name. Si unaona inavyoandikwa?
 
Last edited by a moderator:
mwaJ angalia vizuri - jaribu mbona wapo tu wanaonekana vizuri - keep on trying!
Dotworld sitaki hata kujisumbua, huyo wa kwenye picha ya kwanza nimemuona baada ya MziziMkavu kumchorea kiduara. Humo kwenye makorokoro si ndio nitayaua kabisa macho yangu kwa kukodolea monitor siku nzima!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asprin vipi na wewe umemuona Paka katika hizo picha au na wewe unajiunga na MwaJ kwenda kwenye vipimo?
Ndugu yangu Dotworld, haya macho yangu bila msaada wa bia huwa hayaonagi wanyama hai. Ngoja nikitoka kwa mkoloni jioni ntaitumbulia macho tena hii picha wakati namimina Tusker Malt kwa koromeo.
 
Last edited by a moderator:
JF raha tupu, kuanzia post #22ikiwemo na hii yangu, uchakuaji thread kwenda mbele. Mara nyingi hapa ukiangalia mada inavyanza na inakomalizia, utashangaa.

Paka yupo hapo penye duara jeusi kushpto ya picha.
 
mnanichosha tu macho yangu,,.........boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Yupo kulia pembeni ya mawe , miguu yake ya mbele imesimama ya nyuma imekaa. Haya ntumie buku tano yangu fasta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…