Can you love one woman??

Inaonekana hatujaelewana mzee baba.

Hatuongelei "kupenda"

Bali naongela kuwa katika mahusiano. Lakini tunaamini unapokuwa katika mahusiano na mtu basi umempenda-ndipo nikatumia neno kupenda.

Hii ni suala ambalo wizkid sio wa kwanza kulitaja, lipo linasemwa na linadhihirika saana.

Sasa.
Je ni kweli wanaume wa kiafrika hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja?

Kwako nimekuelewa unasema ni maamuzi ya mtu. Au sio!
 
Why is everybody so serious?
That you can't even have a good time...

Manzi mmoja kwa wazazi ila mtaan na kwenye simu wapo kibao

Therefore, Wizkid is damn right?
 
Why is everybody so serious?
That you can't even have a good time...

Manzi mmoja kwa wazazi ila mtaan na kwenye simu wapo kibao
But,

Savage ni mtamu bwana tunatafuta nini?
 
Mwanamke?

Yeah ni mzurii sema ni mkubwa sana kwa wiz kid it's not my business though[emoji849][emoji849]
1980- 1990. Sijawahi kuyaangalia mapenzi kiumri.


likewise it's not my business....

Nilitaka kujua maoni yako.
Gracious.
 
1980- 1990. Sijawahi kuyaangalia mapenzi kiumri.


likewise it's not my business....

Nilitaka kujua maoni yako.
Gracious.

Kabisa nafikiri wanaoyaangalia kiumri wamekosa uzoefu wa haya maswala
 

Kama tunakubaliana kwanza kutenganisha upendo na uzinzi sina tatizo. Mtu mmoja au maneno yasiyo na utafititi wa kutosha yasitumike kufikia hitimisho kwa wanaume wa kiafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…