afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
hahahahaha umetisha bro hapa kwelikabisaKupenda kuko kwa aina nyingi. My Mama ni Woman na ninampenda. Niko na watoto wakubwa wa kike nao nawapenda pia. But kama kimapenzi ndio love yenyewe uliomaanisha jibu ni yes, I can Love Only One Woman, that is my Wife.
But hii haizuii kugegeda wanawake wengine, havina uhusiano kabisa. Naweza kuchepuka still nikawa nampenda Wife wangu. Kumgegeda Only wife is possible if only Dunia nzima yuko yeye mwanamke mmoja pekee.
We kweli mgegedoHakuna mwanaume wa mwanamke mmoja, ukiona mwanaume ana mwanamke mmoja pekee ujue mgonjwa au uchumi unakataa lakini akizipata ndo utamtambua vizuri.Narudia tena hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja
[emoji22] hata sijakuelewaSiri ya mtungi aijuaye kata.
Moyo wa mtu kichaka.
Nakusabahi mnyantuzu weye[emoji137]
Pole![emoji22] hata sijakuelewa
Asantee kwa salamu.
[emoji4]kwani siku hizi tuna ugomvi ?Pole!
Nashukuru kwa kuitikia salamu yangu
[emoji119][emoji119][emoji119] Basi yeshe![emoji4]kwani siku hizi tuna ugomvi ?
Wew si ndio hunipendi tena unachepuka
Vipi mzima lakini ?[emoji119][emoji119][emoji119] Basi yeshe!
katika kiingereza kuna maneno kama like na love....sasa kulove mara zote kuko kwa mtu mmoja tu ila kulike kuko kwa watu wengi.....mana love ni kuwa na strong feeling lakini like ni kuwa na normal feeling...kiufupi kulove ni kwa mmoja tu ....na ndio maana hata jf au fb kunakulike comment na si kulove comment
tukirudi kwenye mada inawezekana kwa 100%
sawa mkuu yes i canMada haijauliza useme inawezeka au haiwezekani kihewani hewani tu....imekuuliza wewe unaweza?
Mtoa mada anajua yote hayo uliyoyaeleza.
Na nimetoa mfano wa mtu aliyesema yeye hawezi kupenda kupenda mwanamke mmoja.
kama maana ya kupenda ni hiyo uliyojaribu kuieleza kuna wanaoweza kuyafanya kwa wanawake zaidi ya wawili....Je watakuwa hawawapendi!
Kaagize kinywaji mkuu nakuja kulipa.wanaume wa hivi wapo wa kuhesabikaIt is possible to have one woman, since no one can save two masters.
Inawezekana Mkuu...sema ulie naee muwe mna chemistry nzurii..Kaagize kinywaji mkuu nakuja kulipa.wanaume wa hivi wapo wa kuhesabika
Sidhan..yaani wanaume nyieInawezekana Mkuu...sema ulie naee muwe mna chemistry nzurii..
Mfano me now ninae mmoja...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mara ya kwanzaa kwenye maisha yanguu...Sidhan..yaani wanaume nyie
Hamuaminiki
SidhaniMfano me now ninae mmoja...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mara ya kwanzaa kwenye maisha yanguu...