Hawana mana hawa,walishawahi kuwa na shindano la kucheza karata sehemu iliyozungushiwa wigo mkiwa mmekaa,kisha anaingizwa ng'ombe kichaa humo mshindi ni yule atakayekuwa wa mwisho kuinuka yaani hata lama Ling'ombe linakuandama wewe kama unataka ushidi usikimbie....