Can you believe Tanzania is not among of the top 10 most peaceful countries in Africa?

Do you know that we are not among the ten most peaceful countries in Africa.

Check the list;

10: Sierra Leone
9: Madagasca
8: Morocco
7: Lesotho
6: Namibia-oasis of peace and stability
5: Zambia
4: Angola
3: Ghana
2: Botswana
1: Mauritius.
 
Ningeshangaa sn tungekuwemo.............ccm hawataki amani kabisa.....kule Zanzibar ndo wanalazimisha vita kabisa hata km watz hawataki
 
Nafikiri neno Amani ni pana zaidi, kuna nchi ambazo maraisi wao au waziri mkuu wanaweza kujumuika mitaa bila kuona mitaa inafungwa au maduka sio Tz.
Mfano mwingine. Watu wote wenye uwezo nyumba zao zina cctv camera, kuta, fance za umeme, mbwa askari,
Kwenye nchi ya amani hakuna vitu vingi hivyo, unaweza kuona mwenyewe hilo, tembea nchi za amani hawezi kukuta magari yamepigwa ribiti kila sehemu kuanzia kwenye vioo kuchorwa mpaka plastic za pembeni zote ni ribiti tu
Nyumba ziko kama magareza sababu ya kuta za fance unasema una amani.
Unaweza kutembea nchi nyingine usikutanw na polisi ata wiki nzima.
Tutofauti amani na uoga.
 
Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?

1.Mauritius 2.Botswana 3.Ghana 4.Angola 5.Zambia 6.Namibia 7.Lesotho. 8.Morocco 9.Madagascar 10.Sierra Leonne.

Je, mnafikiri Kwa Nn?
Sasa unashangaa nini kwani Uongo, Nenda nchi zingine uone kama hata utatembea nje ya nyumba yako, ni Full mitutu tu
 
Angola kuna sehemu hakuna amani.
Kumbuka wachezaji wa Togo waliwahi kutekwa wakati wanaenda kwenye mashindano ya Afrika na waasi kwa basi kipa wao alipigwa risasi, wako karibu na mpaka qa Congo DR, kwa hiyo kuna sehemu sio salama.
 
Mi naona tatizo ni kigezo walichotumia hatukifahamu labda wangekiweka wazi tungeelewa kinagaubaga nje ya hapo ni uzushi tu
 
Anayedhani Tanzania kuna AMANI ajaribu kumkosoa mtukufu na dola yake hata kama makosa yapo aturudishie mrejesho.
 
images


images



images


Ikiwa Polisi wamefikia hatua ya kufanya mazoezi mitaani kwaajili ya kuzuia maandamano ya UKUTA leo unashangaa kwanini hatumo kumi bora inabidi ujishangae mwenyewe.
 
Watu wakifulia kutokana na uzembe wao binafsi wanasingizia serikali.
 
Back
Top Bottom