Wanawake weeengi huwa wanapenda wakiwa tayari na mtu then inaongezeka maradufu wanapoendelea kuwa pamoja, sababu mwanaume anakuja na kukutamkia wakati tayari either kakupenda kabisa au kakutamani tayari, wewe mwanamke unaanzia pale

VOR... Yes you can learn to Love someone.... Kuna mtu mwingine ukimuona at first glace unasema "Hell NO!!" But with time... You fall in Love...
Ni kweli kama bibi na babu zetu waliweza enzi zile za arranged marriages kwahiyo na sisi hatushindwi ila ni kwamba siku hizi, watu hawaipi chance hili jambo kutokea, usipomfanya ageuze shingo for real hautapata opportunity ya kumuonyesha hizo hidden qualities ambazo kila mtu anazo.

unataka kujifunza kupenda nini? Naona umetukumbusha ya kale.
Hivi unaweza kujifunza kumchukia mtu.
VoRni kweli wengi wetu tuna learn kupenda wakati libeneke lishaanza then tunakuja kupenda hasa, wakati huo kijana anaanza kupunguzaMhh kwahiyo wanawake wengi huwa wanaanzia from no love at all mpaka love...?,
Lakini ni kweli nadhani upendo wa dhati huwa unatokea baada ya muda (ukiachana na tamaa za hapa na pale..) na ukimpa mtu chance, kama ana tabia nzuri na ni mtu mwema basi baada ya muda utampenda, (kutokana na ule ukaribu na kuzoeana) ingawa siku hizi watu hawapeani muda wanabase mapenzi yao kwenye vitu vya kupita...
Ashadii,inawezekana kweli ivi unamchukiaje mtu usiyemjua nikianza kukuchukia Ashadii kama Ashadii nisiyemfahamu humu ndani natumia vigezo gani?

Ndio... mbona hio ipo hata hapa JF... Sababu wewe Husny ni rafiki yangu... na kuna member haelewani na wewe... basi na mimi kwa kukosa bursara ama ustaarabu... ama utashu wa kupima what is right or wrong... naaanza na mimi kumchukia yule member... Inachekesha kweli yaani... mtu wa namna hio in real life anatia huruma saana for ina maana walo mzunguka ndio huendesha maisha yake....

ukiacha mfano wa humu. Ikitokea umempenda mtu na umejitahidi kadsi uwezavyo ila yeye hakupendi, utajifunza kumchukia au?