Wakuu....!
nimeshawishika kuuliza swali hili jamani.
Kila story utakayosikia kuhusu ndoa ni hasi. hivi katika ndoa hakuna mema yanayotokea?
nauliza hivi kwa maana mimi sina ndoa(wala sijaoa) ila hua nina kampan kubwa ya watu
vijana na wazee wenye ndoa. sasa story zote ni mara mke wa fulani kicheche...mara
wanawake/wanaume wanakera jamani...mara filani kafumaniwa......mara mtoto wa fulani si wa mume
wake ni wa nje ya ndoa....mara.....mara....mara...mara......
nilishahudhuria harusi kibao, ikifika wakati wa nasaha, watoa nasaha wantumia muda allmost
wote kueleza magumu ayaliyopo kwene ndoa...oooh ndoa uvumilivu....ndoa kusamaheana.....
ndoa......ndoa kubebeana mizigo........mkitaka kuachana tuiteni kama mlivyotuita leo hapa mvuane
pete tkishuhudia kama mlivyovishana.....khaaaaaaa!
Hali hii inakatisha tamaa na inanifanya niwaze hivi kuna haja kweli ya kuoa????
HIVI HAKUNA STORY CHANYA KATIKA NDOA.....??