Can there be a positive stories in marriages? All i hear are negative.....!

Can there be a positive stories in marriages? All i hear are negative.....!

anyway, unalipi mkuu lakusema.
tupe basi chanya za ndoa yako...manake me wala siatamani kuoa
naonatu ka nitajizingua.....!

Chanya za ndoa
  1. Unapata mtu ambaye unefeel yuko karibu na wewe kuliko mtu yeyote humu duniani
  2. Unapata mtu ambaye unaweza kuwa wazi kwake, kimawazo na kimwili kwa 100% bila wasiwasi.
  3. Unapata mtu ambaye unahisi kila unachofanya, kila ulicho nacho, na kila unachopanga, yupo kukupa support maana nyie ni wamoja
  4. Unapata mtu ambae wakati wowote ukijisikia hamu ya mgegedo, yupo kutoa, unless kwa sababu fulani hasa za kibayologia
  5. Unapata wasaa wa kuitwa Mr au Mrs
  6. Unapata mtu wa kukusaidia kwa uhakika zaidi kulea watoto kama Mungu atakujaalia
  7. Unakuwa umekamilika mbele ya jamii (hasa ya kiafrika), kwa kuitwa 'familia', kwa mfano ukienda sehemu utatambulishwa kama famila ya X. X unakuwa wewe sio wazazi wako tena
  8. Unapata heshima stahiki katika jamii, hasa kama umri umefika
  9. Unajisikia uko salama zaidi (hasa kwa wanawake)
  10. Unapata nafasi ya kuanzisha familia
  11. ---
  12. ---
  13. ---
  14. ---
  15. ---
  16. ---
  17. ---
 
Ndoa ni tamu kama imechanganya vitu viwili vitamu.....Na hamna anyeingia kwenye ndoa akitegemea makwazo ila yanatokea pale tamu moja inapogeuka chungu. Pia mazuri siku zote yapo mbali na kinywa cha binadamu ila mabaya yanaishi kwenye ndimi za binadamu.

Tasia1 Ndoa siyo hadithi kwamba eti umesikia watu wanasema!!!!!!!!!!!!! yanayoongelewa pale ni ya kawaida sana. jitahidi uingie utaona utamu wake.
daaah....hua nahisi kama mkiona mtu anaingia hua mnapata relief flan.
kwamba mnapata mwenzenu wa kushare nae hizo mnazo ziita changamoto.
Anyway, mkuu sio kua sintooa, nitaoa. ila huatu najiuliza maswali meengi sana.
nashukuru lakini kwa kunishawishi kua kuna upande chanya wa ndoa.
 
Tasia I epuka sana story za watu wanazopiga haswa wale ambao hawaijua tasinia ya ndoa ikoje
Always watakupa negative side ya ndoa na sio positive side
Na wangependa na wqewe uwaunge sana mkono wala usifikirie kuoa na ni wale wanaosema kuoa ni kujifunga unapoteza uhuru wako sijui unakuwa mtumwa sijui utakuwa hubadilishi tena mboga kila siku mahagare hayo ni mawazo mfu ambayo hayafai kukumbana nayo ila elewa ndoa ni nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
I can share with you hundreds of good stories. I marry a best friend everyday I appreciate more.
 
cheki nick cannon na mariah carey...wao fresh tu bata mia mia yan..mi naamini yangu huko mbeleni itakua fresh tu ku pop ma-champagne nin..wanasemaga there is nothing difficult..difficult is only in ur head what you think is what might turn up...
 
Chanya za ndoa
  1. Unapata mtu ambaye unefeel yuko karibu na wewe kuliko mtu yeyote humu duniani
  2. Unapata mtu ambaye unaweza kuwa wazi kwake, kimawazo na kimwili kwa 100% bila wasiwasi.
  3. Unapata mtu ambaye unahisi kila unachofanya, kila ulicho nacho, na kila unachopanga, yupo kukupa support maana nyie ni wamoja
  4. Unapata mtu ambae wakati wowote ukijisikia hamu ya mgegedo, yupo kutoa, unless kwa sababu fulani hasa za kibayologia
  5. Unapata wasaa wa kuitwa Mr au Mrs
  6. Unapata mtu wa kukusaidia kwa uhakika zaidi kulea watoto kama Mungu atakujaalia
  7. Unakuwa umekamilika mbele ya jamii (hasa ya kiafrika), kwa kuitwa 'familia', kwa mfano ukienda sehemu utatambulishwa kama famila ya X. X unakuwa wewe sio wazazi wako tena
  8. Unapata heshima stahiki katika jamii, hasa kama umri umefika
  9. Unajisikia uko salama zaidi (hasa kwa wanawake)
  10. Unapata nafasi ya kuanzisha familia
  11. ---
  12. ---
  13. ---
  14. ---
  15. ---
  16. ---
  17. ---
UNAPATA ALIYE WEWE!yaaaani NAFSI YENU KATIKA UWILI WENU!
 
Ndoa ni nzuri sana,jukumu la kuifanya ndoa iwe Paradiso au jehanamu ni wanandoa wenyewe,jinsi utakavyotaka iwe ndivyo itakavyokuwa,challenge zipo but you are suppose to challenge the challenges which are challenging you.
 
Back
Top Bottom