Can someone lend me 200k?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,651
Can someone lend me 200k?, we will get to know each other then tutapatana nirudishe mkopo kidogokidogo kama ukipenda.

I'm a young girl..sina mtu specific wa kumtegemea.na umri unaenda..i need to start my business mradi niwe najihudumia mwenyewe mahitaji yangu muhimu than being dependent to my relatives navnina ndoto za kufika mbali..kwa kujiajiri sio kuajiriwa.na sipendi kuwa na mwanaume halafu namuomba hela

Hata nkija kuolewa sitapenda kuwa dependent..

Atakaenielewa aje pm..ama niite pm.

Shukrani.
 
Unapatikana wapi
 
Sasa unafikiri kila mtu anaweza kuendesha biashara ya 200m?
Heshima yako boss wangu...

What I meant is, she is focused na anajua anachokifanya. 200k kwa watu 20 ambao possibly anaweza kuwapata humu ni 4 Million. Sasa jinsi ya kuwaaccomodate hao watu 20 ndiyo shida. Swali langu lilikuwa la mtego flani hivi...
 
Umefungua mlango wa pm watajazana mbwa koko na wanaweza hata wakala pilao yako na hizo 200k ukabaki nazo kwenye maandishi. Kuwa mwangalifu!

Ila pia ni bora ukaandika uko wapi, hii itarahisisha kwa walioko karibu na wewe kujitokeza na ikawa rahisi kufanya nao mkataba kuliko walioko mbali.
 
ngoja nikae pembeni nisome response za sponsors...
 
Attachments

  • f506afaf71afa96d373cfeb145e1bf1e.gif
    f506afaf71afa96d373cfeb145e1bf1e.gif
    382.9 KB · Views: 53
Back
Top Bottom